Hizi ndizo Shahada za Heshima na Tuzo alizotunukiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Vita inasingiziwa
Nina wasiwasi na umri wako (mdogo sana)
Nina wasi wasi na iq yako( ndogo sana kwahiyo hauwezi kusikiliza, kusoma kuchambua kuhusianisha na kutoa hitimisha Juu ya mambo anuwai)
Nina mashaka na intelligence level yako (kufanya utafiti na kufanya hitimisho Juu ya baadhi ya mambo)
Ni aibu kwa kijana kama wewe kutokujua kuwa moja wapo ya mambo yaliyochangia kudorora kwa uchumi wa Tanzania ni pamoja na vita vya kagera ambayo licha ya kuitumia kwa kiasi kikubwa rasilimali za nchi hii pia akiba ya fedha za kigeni almost yote ilielekezwa kwenye vita na kuacha shughuli nyingine hoi bin taaban.
Mambo mengine ni pamoja na ukame mkubwa, (nchi kutumia akiba ya fedha za kigeni kuagiza chakula kutoka nje badala ya shughuli nyingine za mnaendeleo na kukuza uchumi
Mafuriko: na athari zake
Kuanguka kwa USSR ambao ndiko MWALIMU aliopt sana kama supporter wa mnaendeleo!
Magnjwa ikiwemo HIV,
Usisahau mabadiliko ya Dunia baada ya vita baridi (SAPS)
Kapekue maktaba kijana acha uvivu!
Nasema acha uvivu! Vita ilisababisha mdororo mkubwa wa uchumi hata Bibi Ako anajua mana Muda mwingi na rasilimali watu zilitumika kwa ajili ya vita na watu wakua wazelndo kweli kweli kuioigania nchi Yao na sio matumbo Yao kama wewe! Mjinga MMOJA hivi ashakumu sio matusi
 
Tangu ameondoka madarakani mpaka leo inapata miaka 37.
Je hali ya umaskini baada yake ikoje
Hao ndio wanaoshinda kulaumu baba zao kuwa baba hakumuwekea msingi unakuta mtu ana miaka sitini lakini bado qnamlaumu mzee wake.

Wakati Nyerere anapigania uhuru huyu anayelaumu baba yake hakushiriki halafu leo anamlaumu mtu aliyesababisha apate fursa za .uhuru.
 
Wewe umeachiwa utajiri wote kisha unamlaumu mtu aliyekufa akili yako haiko sawa
Haya mabox kuyajibu ni sawa na kutwanga Maji kwenye kinu! Wazazi waliuza ng'ombe wakapeleke ng'ombe shule , na ng'ombe enyewe sasa ni tasa hauwezi kuwa mbuguma ili tupate nagalau maziwa na pia ni hanithi haiwezi kuzalisha! Wastage of resources completely! Unamlaumu Nyerere serious?
 
Nyerere hakutakwa kuitwa Doctor, alipendelea kuitwa Mwalimu.

Mkapa na PhD zake nyingi hakutaka kuitwa Doctor, ila Ndugu.

Mwenye PhD ya mchongo, ambayo akiulizwa thesis yake anaua waulizaji, alitaka ajulikane kama Doctor kwa thesis ya wizi
Masikini aliwezaje kuhonga au alibomoa sanduku la shahada?
Vitu vingine ni vya kijinga kuongelea.
 
Masikini aliwezaje kuhonga au alibomoa sanduku la shahada?
Vitu vingine ni vya kijinga kuongelea.
Masikini my ass. Masikini gani anajengea wanawake mahoteli?
Huwezi kuwa waziri wa mabarabara ukawa lofa.
Huwezi kukaa pale ardhi halafu ukose hela.
Huwezi ukawepo uvuvi ukawa huna hela kijana. Mazao yote ya marine, marine reserves, fishery exports etc halafu ukasema wewe ni masikini.
Huwezi kumiliki ardhi Ada Estate ukasema wewe masikini.
 
Alafu kuna wajinga wanakaa na kumdharau Nyerere... shezi wa head kabisa...
Kwenye Library yetu floor ya tatu kuna collection ya African studies. Vitabu vya Nyerere vipo pale tena vya reference tu; havitoki nje ya Library. Kila kitabu alichoandika Nyerere kumbe alikuwa anatoa nakala ya kiswahili na kiingereza mwenyewe; jamaa hawa wanazo nakala zote zilizotoka kwa kiswahili na za kiingereza. Vile vile kuna kopi ya essay aliyoandika akiwa mwanafunzi Makerere ambayo ilikuwa inahusu haki za wanawake sijui waliipata wapi. Sijaelewa wasomaji wa vitabu vyao vya kiswahili ni nani kwa vile wamarekani walioko hapa wanaoongea kiswahili ni wachache sana.
 
Kwanini South Africa haimo kwenye orodha?
 
Kuna degree moja ya MAN OF LETTERS alitunukiwa katika mojawapo ya nchi za Carribean mwaka 1974. Wakati anaipokea alianza kwa kusema maneno, “ ……….., dedpite the degree you have just conferred upon me, I am not a man of letters. I am a teacher by profession and a politician by practice ……….., Kuna anayeikumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…