Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Ndio maana nikauliza kama hao Budha ni Masikini kwa Mtazamo wako..., Binafsi kwangu mimi naweza kusema..., Mmarekani wa Sasa ni Masikini kuliko alivokuwa huyu Mmarekani Halisi kabla hawajamfanyia unyama...By individuals kwa uwingi wao sio wote Bali wengi
Its all in the mind na kwa mentality ya sasa wenye navyo wanafukuza illusion (they will never be satisfied) na majority wa sasa hawana hata milo mitatu, magonjwa bado ni kero, labda kwenye mavazi mitumba imetusaidia..., lakini with our natural weather kabla ya kujenga maghorofa kama uyoga na kukata miti tungeweza kutembea hata kifua wazi
Conclusively kwa sasa majority ndio masikini wa kutupwa...