Hizi ndizo Shahada za Heshima na Tuzo alizotunukiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

By individuals kwa uwingi wao sio wote Bali wengi
Ndio maana nikauliza kama hao Budha ni Masikini kwa Mtazamo wako..., Binafsi kwangu mimi naweza kusema..., Mmarekani wa Sasa ni Masikini kuliko alivokuwa huyu Mmarekani Halisi kabla hawajamfanyia unyama...



Its all in the mind na kwa mentality ya sasa wenye navyo wanafukuza illusion (they will never be satisfied) na majority wa sasa hawana hata milo mitatu, magonjwa bado ni kero, labda kwenye mavazi mitumba imetusaidia..., lakini with our natural weather kabla ya kujenga maghorofa kama uyoga na kukata miti tungeweza kutembea hata kifua wazi

Conclusively kwa sasa majority ndio masikini wa kutupwa...
 
Ndugu ujamaa ukiwa kwenye jamii iliyostaarabika na yenye maadili ni mzuri sana.

Tatizo moyo wa mwafrika umeoza sana na unanuka kwa kila tendo..

Cc ccm
 
Uzuri hakujiita Dr. Sasa kila mahali itakuwa Dr Samia.
Fid Q alisema.

"..... na sijawahi kujivuka umasihi, makuzi hayafayi ndo maana baba taifa alificha CV..."
OLE CHIZA, Fid ft Rosaree
 
Alipata degree zake akiwa tajiri?
Hujui , palefu .
JPM kasotea degree zake , hata mavazi na mahitaji ya msingi ilikuwa kujiombeleza.
Tajiri gani aombe kufadhiliwa kwa kitu muhimu kama Degree?
 
Kabisaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…