Hao hao mkuu, we ukisikia " yechu yechu, kum***aako kwa sana, nikuderee ujue ni haoDuuh hilo silijui mkuu
Mbona ni hatar sana, Hivi Hata wale wanaoitana chalii yangu, yechu, nikuderee nk nao ni wachagga au kabila gani
Maana nachanganya sana mafile Hahah Mimi huku ninao wajua Naona wanao umoja
Karne hii ya 21 bado unaangalia viuno na pesa ukaiweka plan BNDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Ila hata R Chuga haina tofauti, hasa vijana! "Au nadanganya ndugu yangu"?Hao hao mkuu, we ukisikia " yechu yechu, kum***aako kwa sana, nikuderee ujue ni hao
Arusha na Moshi ni uji na mgonjwa mkuu, kila kitu the same!Ila hata R Chuga haina tofauti, hasa vijana! "Au nadanganya ndugu yangu"?
MKUU HIZO PESA BILA KUPATA MAPENZI MOTOMOTO NIJI FAIDA YAKE?Karne hii ya 21 bado unaangalia viuno na pesa ukaiweka plan B
Kabisa, watu wa Arusha na Moshi sijui tofauti yao itakuwa nini, wanafanana kwa mengi, nahisi origin yao yaweza kuwa moja.Arusha na Moshi ni uji na mgonjwa mkuu, kila kitu the same!
Hata mi nahisi,wameru, masai, muarusha, mchaga labda ukitoa wambulu wahanangKabisa, watu wa Arusha na Moshi sijui tofauti yao itakuwa nini, wanafanana kwa mengi, nahisi origin yao yaweza kuwa moja.
Unaangukia wapi hapo?(wameru, waarusha, wamasai)[emoji125][emoji125][emoji125]Hata mi nahisi,wameru, masai, muarusha, mchaga labda ukitoa wambulu wahanang
Ha ha we unahisije?Unaangukia wapi hapo?(wameru, waarusha, wamasai)[emoji125][emoji125][emoji125]
Meru moja!Ha ha we unahisije?
Wew tafuta utazoea tu mbona sisi tumewazoea [emoji23][emoji23][emoji23]NDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Mramba tu ndio mchaga hapoMkuuu usijitie Upofu hivi Akina Dan Yona, Basil Mra..., akina Sinale, akina Richmond, Bosi wa NIDA... nk nk kwani wanatokea pande zipi vile.
Aaaah wapi, mi mmeru?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16]Meru moja!
Pesa ni pesa hakuna pesa inayonukaMambo ya ajabu wanafundisha watoto wao ujambazi hapa mjini
Twendeni tu kwetu, hawa wa mikoa mingine waacheni waendelee kushangaa sio utamaduni wao mangiiiNatumai wote wazima.
Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.
Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.
Sababu za kwenda makwao December.
1. Kupumzika,hii ni baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima,bila kwenda.
2. Kuchinja mbuzi, hapa kuna za matambiko na za kawaida. Matambiko haya ni kushukuru wazee wao kwa baraka walizopata kwa kipindi chote.
3. Sherehe mbalimbali. Komunuo, kipaimara, ubatizo,Xmas na mwaka mpya wenyewe.
4. Utambulisho mbalimbali kama mke, mchumba,gari jipya,nyumba mpya n.k
5. Kukutana na watu mbalimbali ambao hamuonani baada ya kipindi hicho kama, classmates, majirani,ndugu na jamaa.
6. Utekelezaji wa miradi mbalimbali kama ujenzi wa nyumba, ukarabati wa nyumba,njia mashamba n.k
Kutokana na sababu hizo wanaokwenda ni watu wote wa dini zote
Ukienda tofauti na kipindi hiki huwez kukuta watu wengi sana. Kipindi hiki hakuna kaya utakayokuta haina furaha.
CHANGAMOTO
Kama umeenda na huna chochote kitu,utakumbana na ubaguzi na manyanyaso makubwa sana labda usiwe mzawa wa hapo.
Vijana wenzako wanawajengea wazazi wao nyumba ww huna kitu,wameenda na magari ww huna kitu. Umeshindwa hata kujenga choo hapo nyumbani!!!???
Maswali fikirishi
Utaulizwa mjini ulifata nini??bora ungelima hata huku shambani tu tujue kabisa kweli huna kazi?
Kama ni Dar, utaulizwa kwani Daslama unayokaa wewe ni hiyo hiyo anakaa mtoto wa Massawe?[emoji23][emoji23] Utajibu nini hapo?
Kipindi hicho wenye vitu,mali pesa ndio wenye akili na maamuzi. Una vyeti vyako,una elimu kubwa lakini kama hujafanya chochote au hauko vizuri na wazazi wewe ni takataka tu.
Kwa sababu tajwa hapo juu kumbuka sio wote wanakwenda kwa sababu zote bali lazma sababu mojawapo ihusike.
Ni kipindi chenye shangwe na furaha sana.
Karibuni watu wa maeneo mengine mtupe sababu za kwenda na changamoto zake. Ruksa kujazia pia hapo.
Wewe kama unawasema wakinga kupitia Wachagga utajua mwenyeweKuna yule mchaga wa Arusha tena mzee wa Kanisa KKKT alikuwa analala na chatu chumbani kwake.
Siku alipojisahau akasafiri bila kufunga mlango chatu likatoka nje wananchi wakaliua na utajiri wa bwashee yule ukaishia pale pale.
Wachagga, Wakinga na Waha utajiri wenu mnauweza wenyewe!
Upo Lushoto sehemu gani madam? Maana nami nipo Lushoto kwa kazi fulani kabla ya kurejea mjini Daslam January.Naomba niwaite maswahiba zangu hapa tuanze kuria mbege...
Le Big Sam Babu Asprin aka mzee wa without [emoji28]
Brudha wa Verossa Mentor aka baba naniliu .....[emoji12]
Sukari ya warembo Watu8 aka Msafiri wa Nissan nyeupe [emoji2957]
Niko Lushoto huku hadi tarehe 18, tarehe 19 nateremka atayekuwa anaelekea kaskazini zaidi atoe taarifa mapemaaaa niongeze chupa za wine [emoji485] [emoji39]
Shusha uzi kakaNitaweka uzi wa update live wamatukio yote yanayotokea kulee....tarehe 20 mjii sio wetu huu
Upo Lushoto sehemu gani madam? Maana nami nipo Lushoto kwa kazi fulani kabla ya kurejea mjini Daslam January.Naomba niwaite maswahiba zangu hapa tuanze kuria mbege...
Le Big Sam Babu Asprin aka mzee wa without [emoji28]
Brudha wa Verossa Mentor aka baba naniliu .....[emoji12]
Sukari ya warembo Watu8 aka Msafiri wa Nissan nyeupe [emoji2957]
Niko Lushoto huku hadi tarehe 18, tarehe 19 nateremka atayekuwa anaelekea kaskazini zaidi atoe taarifa mapemaaaa niongeze chupa za wine [emoji485] [emoji39]