Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Twendeni tu kwetu, hawa wa mikoa mingine waacheni waendelee kushangaa sio utamaduni wao mangiii

NB
Kama hujajipanga usiende maana hutakua na majibu ya maswali tajwa hapo juu
Kabisa...unaweza pigwa swali afu we mwenyewe ukajiona mzembe...ndio mana hakuna mchaga mjinga wala mvivu yote hiyo ni kutokana na hizo challenge za raia migombani huko
 
Kabisa...unaweza pigwa swali afu we mwenyewe ukajiona mzembe...ndio mana hakuna mchaga mjinga wala mvivu yote hiyo ni kutokana na hizo challenge za raia migombani huko
Kwenye kikao cha ndani tulishakubaliana, kwamba kama huna gari basi uwe hata na nyumba, huna nyumba uwe hata na duka au any investment, na ukifika kule sio unategemea ndugu zako, unatakiwa uwe full charged yani mpaka watu wa migombani waseme kweli nyie mmetoka daslamu
 
Kibaya zaidi kama huna kitu hadi machalii wa pale pale wanakushusha vyeo ni hatari sana hii
 

Sio sawa na bure. Especially namba 4.
 
Uliyasema hayana tofauti na ya Uhayani isipokuwa kufanya matambiko ndo wahaya hawafanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…