Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Huu mfumo mgumu sana. Imagine wewe ndiye kidume kwenu halafu uko Dar unapambana na life unaishia kuwa bodaboda halafu mtoto wa jirani amekuja kula sikukuu akitokea Scotland na gari mpya zawadi kwa baba na mama
Unapiga ishara ya msalaba unamshujuru Mungu kwa uhai na uzima mengine yatakuja tu.
 
Hawa Waha wanaouza matunda Bongo ndio unasema ni matajiri?

Vv
 

Karibu sana Kasie Matata wa mahaba

Wifi zako wameshaanza kulikoroga




Na shemeji zako wameshaanza kuria...

 
Wanachofanya wachaga mwisho wa mwaka kurudi kwao ni vizuri. Na sio wote wana hela maana kwenye msafara wa mamba na mijusi haikosekani. Dhima kubwa ni kufahamiana maana kwenye makutano hayo ndio unaweza mjua ndugu yako hata kama ni wa mbali.
 
NDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Haya mengine nadhani ni kuwasingizia tu, mimi nimeoa mchaga mkuu, sio kwamba nawatetea ila hup ndio ukweli

Nimewahi kuwa na mademu wa kabila mbalimbali lakini nilikoshwa na huyu bibie wa kichaga mpaka nikaamua kuweka ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…