Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Ndio maana mwenyewe umejichagulia M-Chechin-ya ee??
Kasie ma-Tashtiti.

Ahaaahahahhahaahhaaha looh.

Dadii ndio chaguo langu la maisha, huyu ndo wa kufa na kuzikana.

Nshaenda hadi kwao (kijijini) mara kadhaa, hakuamini kama ntafika kwenye chimbuko lake. Waswahili walisema ukipenda boga, utapenda na ua lake.

Msema ukweli mpenz wa Mungu, Dadii ndo mwanaume pekee aliyenikoleza, nilikolea tangu siku ya kwanza aliponipa miadi ya Cape Town πŸ˜‹.

Najua atapita hapa atasoma, bichwa lake litatunaaa halafu atatabasamu na kupita kimyakimya.

Deep inside, I Love πŸ’– Him πŸ₯°.

Kasie Mahaba Matata Dadii.
 
Tuwaombee waendelee na utamaduni huu wakati Marekani wansema Thanks giving Wachaga nao wana ya kwao.Ukibahatika kipindi hiki kuwa katika Highway ya kwenda Moshi unaweza kuhesabu magari madogo mpaka uchoke.
TAHADHARI:Wale wasio na uzoefu wa safari ndefu waendeshe kwa tahadhari na waepuke kula "heavy meals na bia"
 
We mrembo kumbe ni s
Twendeni tu kwetu, hawa wa mikoa mingine waacheni waendelee kushangaa sio utamaduni wao mangiii

NB
Kama hujajipanga usiende maana hutakua na majibu ya maswali tajwa hapo juu
sweet-manka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya mengine nadhani ni kuwasingizia tu, mimi nimeoa mchaga mkuu, sio kwamba nawatetea ila hup ndio ukweli

Nimewahi kuwa na mademu wa kabila mbalimbali lakini nilikoshwa na huyu bibie wa kichaga mpaka nikaamua kuweka ndani
Mkuu mtt wa Kichaga alikukosha na nini mzee, ni adabu au flava ya jikoni iko vizuri?
 
wachagga tumewashindwa, mpo juuu kama kilimanjaro!

Kurudi nyumbani kujuana, kusaidiana ni vyema sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…