Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

dah sio kwel aisee mm niwakiume ila hapo napinga nimeishinao wadada maskin na wenye njaa ila sio wote wana tamaa kama hzo kipind nipo chuo kuna wadada wa wili walikua wazur na marafk na wanatoka kwenye maisha magum ila chuo walkua wanasoma vyuo tofauti na wakawa wana
Kwa uwandishi huu usio na nukta mkato paragraph herufi kubwa.

Na ulikuwa Chuo asee ndo napo pata wazo kweli vyuo tulivyo navyo basi ni kichef chefu asee.

Maana hakika kusoma maandishi ya hivyo lihali huu mtandao una hudumia walengwa wa rika zote basi akili yako ni fupi kama kisheti[emoji23]
 
acha makasiriko umeandika kwa hisia sana hii ni app sio chuo wala darasan una akil za kitumbua kama cha mama ako
 
Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:-

1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate

2.Kupenda vitu vya gharama tofauti na uhalisia wa maisha yake na ya nyumbani kwao-simu atataka amiliki ya laki 3 wakati ndugu zake wanashindia mihogo

3.Wanapenda sana starehe,yani mademu wengi ambao kwao njaa ni watu wa kupenda starehe,club kwa sana kila weekend na kutembelea maeneo mengine ya starehe

4.kuchagua baadhi ya vyakula na kubagua vingine hasa wawapo ugenini,wao wanapenda wale chips kuku,Pizza,Burger

5. Wanajifanya wajuaji na waongeaji sana,kutwa wanashinda vibarazani kuwasema wenzao

6. Wapo huru sana kutoka nyumbani kwao,yani yeye anatoka muda wowote anaojiskia iwe asubuhi,mchana,jioni au usiku

7. Ukimtoa out anakula na kunywa kama anakukomoa

8.Ukimwita ghetto lazima akuombe nauli hata kama nauli ni 400 atataka umtumie

9.Anapendelea kuvaa nguo ya aina moja hasa ile aliyoambiwa akivaa inampendeza

10.Wengi ni omba omba sana

11. Wanajifanya hawana wivu

12. Hataki upajue anapoishi ,ukimwambia nataka kupajua kwenu chenga kibao hadi unaghairisha

13.Anawajua madereva boda boda wengi na bajaji.

Nchana Mwema
Achana nao chukua wa Masaki na Kunduchi huko
 
Ila na wewe kulalamika ni dalili ya kuwa unapenda slope
Uongo kiongozi?
 
💯 kweli
 
Back
Top Bottom