The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
Mkuu ngoja nikupe siri ya hayo mambo uliyoyasema...yani hizo sifa zote hapo ni za mademu au mabinti wenye umri mdogo..ACHANA NA UMASIKINI...kama unataka kuprove hilo jaribu kuwa na mahusiano na hao watoto hata kama ni tajiri kwao...lazima miongoni mwa sifa hizo uumkute nazo.