Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwahiyo wewe unataka mwanamke akupe pesa, akununulie vitu na bado akupikie na akufulie si ndiyo? Wewe wakati huo unamfanyia nini?Aaah waarab dada hawafanyi hilo labda wazungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe unataka mwanamke akupe pesa, akununulie vitu na bado akupikie na akufulie si ndiyo? Wewe wakati huo unamfanyia nini?Aaah waarab dada hawafanyi hilo labda wazungu.
Ukisema kwamba mwanamke anayetafuta pesa na asiyetafuta pesa wote sawa na wanatakiwa wafanye kazi za nyumbani kwa usawa ni sawa na kusema mwanaume tajiri na mwanaume masikini wote sawa na wote wanatakiwa wahudumie wake zao kwa usawa bila kujali kipato chao wala uwezo wao kwa sababu tu hilo ni jukumu lao si ndiyo?
Yeah kuhudumia family ni jukumu la mwanaume 100% lakini sasa punguzen matumizi yasiyo na tijaaa na kutaka vya juu mpk mwaeka watu roho zao rehan mama angu.
We kama lile lipare nimelipangishia hadi nyumba kigamboni eti" ooh nimeona wenzngu wana drive i can't wait driving na sitakuwa mvumilivu kwa hilo my"ilhali kwao baba bodaboda nyumba moja wamezaliwa tisa.
MAMA ANGU WA HIARI HAKI KWELI HIII ETI MAMA?!
Hebu twende taratibu kwanza umesema mnapokwama tunasaidia? Kwahiyo hadi hapo bado unamaanisha kwamba wanawake tunatakiwa kutafuta pesa ili mkikwama tuwasaidie bado tunarudi pale pale na ndo hapo tunaposema mbona ninyi hamtaki kutusaidia kazi za nyumbani?
Sasa huyo si umeamua kuchukua jukumu la wazazi wake wewe endelea tu hakuna namna mpe kila anachohitaji
Huruma yetu hamuionagi eeh, mtu wa kuchagua kuishi na wewe na kukuheshimisha kwenye jamii sio lolote?Thubutuuu mambo gani yaende kwamfani!!!
Sio uvivu ila hamjielewi na hamna huruma na wenzenu.
Uko sahihi kabisa kwenye kuhudumia familia hamna exception ya utajiri wala maskini japo viwango vitatofautiana kulingana na level ya uchumi.Ukisema kwamba mwanamke anayetafuta pesa na asiyetafuta pesa wote sawa na wanatakiwa wafanye kazi za nyumbani kwa usawa ni sawa na kusema mwanaume tajiri na mwanaume masikini wote sawa na wote wanatakiwa wahudumie wake zao kwa usawa bila kujali kipato chao wala uwezo wao kwa sababu tu hilo ni jukumu lao si ndiyo?
Kuna mambo ya kuiga aisee ila sio mambo ya kiduanzi. Huo ujinga unipitie mbali mi na kizazi changu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila unanifurahisha sana sema hivi wewe ndo hauwezi kufanya hayo ila wapo wanaume wengi tu wanafanya siyo kwamba kwa sababu tunapiga kelele humu basi ndo udhani labda hatujui kuwa kuna wanaume wanafanya wapo tena wengi tu ila tunataka na wanaume wengine muige mfano wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi huwa napenda ukweli tu.Kweli mkuu mm nawashangaa madada blackish ama African ladies.
Wenzao Asians wakiwa na hela wanakuhudumia aisee km mm ktk ujana wangu nimelelewa sana na mitoto ya kiarabu ila ndio hvyo wana wivu sana had choon wakusindikize.
Ila kupata mparee mara chupi imetoboka mara naenda buchani kusuka yan alot of.
Embu wajifunze toka kwa whites angalau jaman
Oooh!! Kumbe kwa kufanya hivyo mmemaliza right?Huruma yetu hamuionagi eeh, mtu wa kuchagua kuishi na wewe na kukuheshimisha kwenye jamii sio lolote
Hivi mke wako au mpenzi wako anafanya kazi au biashara yoyote?Kuna mambo ya kuiga aisee ila sio mambo ya kiduanzi. Huo ujinga unipitie mbali mi na kizazi changu.
Hilo moja tu, kuwahudumia na kuwalisha hadi mtapodanja kitu ambacho mwanamke hata kwa week hakiwezi.Oooh!! Kumbe kwa kufanya hivyo mmemaliza right?
Basi nasi kwa kukubali kuishi nanyi na kuwaheshimisha inatosha.
Mi huwa napenda ukweli tu.
A spade is a spade, it cant be called a big spoon in anyway!
Kijiko kitabaki kuwa kijiko na chepe ni chepe. No twisting names!
Kuwazalia,kuwalelea watoto na nyie pia hadi mtapodanja sio kazi ndogo ati.Hilo moja tu, kuwahudumia na kuwalisha hadi mtapodanja kitu ambacho mwanamke hata kwa week hakiwezi.
Dume zima ulelewe nawe umetulia tu unajisifia kabisaaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Kweli mkuu mm nawashangaa madada blackish ama African ladies.
Wenzao Asians wakiwa na hela wanakuhudumia aisee km mm ktk ujana wangu nimelelewa sana na mitoto ya kiarabu ila ndio hvyo wana wivu sana had choon wakusindikize.
Ila kupata mparee mara chupi imetoboka mara naenda buchani kusuka yan alot of.
Embu wajifunze toka kwa whites angalau jaman
Dume zima ulelewe nawe umetulia tu unajisifia kabisaaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ama kweli sijui tunakosea wapi kuwalea.
Kuna wenzio wengi tu wanalelewa, na wametulia hata mshipa wa aibu hawana.Hilo moja tu, kuwahudumia na kuwalisha hadi mtapodanja kitu ambacho mwanamke hata kwa week hakiwezi.
Una wazazi?Ahaaa huwez elewa mamaa nikikuonjesha tyu lazma utanilea kihakika Wallahi