Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kumbuka wewe majukumu yake hauyafanyi lakiniKuna kuomba pesa na kufanyana vitega uchumi.
Madada wa nowadays mmezid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka wewe majukumu yake hauyafanyi lakiniKuna kuomba pesa na kufanyana vitega uchumi.
Madada wa nowadays mmezid
Kumbuka wewe majukumu yake hauyafanyi lakini
Katika kikao cha wanaume kijacho tutajili agenda ifuatayo
"umuhimu wa kuoa demu wa kishua"
Naunga hoja,hasa hiyo profileKuna mmoja jana kaja kaondoka na tisheti yangu da nime mind kinoma
Try me!
Mkuu,ili nipate jasho la kikwapwa na kwenda kuhadithia kijiweni mtoto wa kishua kanipiga kibusti??Hehehehehe
[emoji848][emoji848]mara choka mbaya mara mtoto wa kishua
HayaNilibadili mawazo baada ya wewe kusema "try me"nikajua kumbe totozi la kishua sio Hadija kanda mbili ndefu.
Ila mimi huwa siangalii,awe wa kishua au choka mbaya alimradi nimeridhia siachi kitu,napangusa tu.
Tutamaliza bucha zote lakini nyama ni ile ile tu.
Hahahahaha
Tofautisha tabia ya kuendekeza njaa njaa, swaga za binti maskini na kumhudumia mpenzi wako tu kwa moyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kwani kuna ubaya au ajabu mwanamke kutokuwa na hela na kumuomba mpenzi au mume wake hela? Yaani wanaume mnajisahau kwamba ninyi ndo mliambiwa mle kwa jasho lenu ila wanawake hatukuambiwa hivyo
Sasa nashangaa leo hii jamii inalazimisha mwanamke naye ajitegemee halafu ndo nyie nyie mnaosema hamtaki haki sawa sasa hamtaki haki sawa halafu mnataka wapenzi wenu au wake zenu wasiwaombe hela?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa simu ya laki tatu nayo ni simu ya bei.
Hahaha Maniokor, hela zitawashughulisha sana watoto wa kikeHapana sijaona hapo kwenye hela tu ila nimeamua niongelee hapo kwenye hela tu
Hawa mabinti wa humu huwa na kejeli sana.Kwahyo simu ya laki tatu ni simu ya Bure au..??? acheni kudharau pesa nyie
Jifanye kama unajikuna hivi😂😂😂Nimtawale kwa misingi ipi? Kwani kuna wanaume wanatawaliwa na wanawake?
😂😂😂 Hili ndio haswa linaenda kutokea very soon. Machali wana slay tu hawataki tabu. Wanapendeza na kujikoboa na wanatembeza free za mkuyenge tu.Umelalamika hadi umetia huruma, Ila hayo ndio madhara ya wale wanawake wa framework kutoka Harvard mnayoyafagilia ya 50/50. Si mnataka haki sawa basi vijana wa leo wamewakomoa hata kwenye mambo hayo wanataka mjitegemee 50. Ila burudan muwape kama kawaida. Na tunakoelekea mtatoa mahali kama hutaki ndoa hakuna.
Hahahaha aya buanaTofautisha tabia ya kuendekeza njaa njaa, swaga za binti maskini na kumhudumia mpenzi wako tu kwa moyo.
We usiongee tu kwa vile una mdomo, on a serious note. Hio kazi yako upo tayari kuiacha ili uwe mama wa nyumbani na uishi maisha ndani ya kipato changu bila kunistress na tamaa za kijinga!?Siwezi kuwa against nyie bila sababu huwa ninapinga pale ninapoona hapa mnaongea kwa sababu tu nyie ni wanaume ila hamuongei kwa kutetea uhalisia haya tukirudi kwenye mada wanaume mnapokosea ni hapo mnapotaka wanawake wawasaidie kutafuta pesa halafu nyie hamtaki kuwasaidia kazi za ndani na ndo maana pesa ya mwanamke siku zote ni ya mwanamke kwa sababu fikiria wewe unatafuta pesa tu ila yeye anatafuta pesa na bado kazi za ndani anafanya sasa hapo nani anakuwa ana majukumu mengi?
Hakuna mwanamke anayependa kufanya majukumu mengi kuliko mume wake ukizingatia wanawake tuliumbwa wasaidizi kwa wanaume sasa inakuwaje msaidizi afanye majukumu mengi kuliko mkuu yaani eti makamu wa rais afanye majukumu mengi kuliko rais sasa hapo atakuwa msaidizi tena? Na ndo maana siku hizi malalamiko yamekuwa mengi kutoka kwa wanaume kuwa wake zao hawana heshima na utii
Hamuoni kuwa tatizo ni mizigo ya majukumu mnayowatwisha usitegemee mwanamke afanye majukumu mengi kuliko wewe halafu eti bado awe chini yako wanaume chagueni moja kati ya haya mtafute pesa wake zenu wafanye kazi za nyumbani, wote wewe na mkeo mtafute pesa na mfanye kazi za ndani kwa pamoja au wote mtafute pesa halafu muajiri mfanya kazi afanye kazi zote za nyumbani
Sema hapa kwenye kuajiri mfanyakazi wanaume inafika kipindi mnaaza kulalamika eti "oh mke wangu kajisahau sana siku hizi anamuachia kazi zote mfanyakazi hadi chakula changu anipikie mfanyakazi nguo zangu anifulie mfanyakazi" mwisho mnaishia kutembea na hao wafanyakazi kwa hicho kisingizio sasa kama ulitaka mkeo afanye hayo yote si usingetafuta mfanyakazi ukamuacha mkeo nyumbani awe anakufanyia hayo yote halafu wewe unamhudumia mahitaji yake kiuchumi? Wanaume matatizo mengine mnayatafuta tu nyie wenyewe halafu baadaye mje mtutupie lawama wanawake kama kawaida yenu