Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Basi naomba unijibu hili swali je kwako wewe unaamini kwamba mahusiano bora ni yale ambayo mwanamke anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?Unajua kama mwanaume ni tofauti na mwanamke? Na hii elimu ya wazungu waliyotuletea ya 50 50 ni ya uongo wanataka tusielewane. Hivi leo ni ngumu kupata mahusiano imara! Nahii inaletwa na hiyo 50 50 kwa sababu wote tunakuwa tumepoteza lengo la mahusiano yetu, mwanaume akiwa nakipato kikubwa ni shida! Mwanamke akipata ndiyo balaa zaidi.