Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Hahaha Maniokor, hela zitawashughulisha sana watoto wa kike
Ndiyo zinatushughulisha kwa kufanya kazi au biashara kwa bidii kuzisaka au nyie wanaume huwa hamzitafuti kwa kujishughulisha mnazitafuta kwa namna nyingine?
 
Hahah mngekuwa mnazitafuta kwa nguvu na bidii hivyo vilio vya kutaka kupewa hela vingepungua humu.
Otherwise ni mambo mbaya tu itahappen!
 
We usiongee tu kwa vile una mdomo, on a serious note. Hio kazi yako upo tayari kuiacha ili uwe mama wa nyumbani na uishi maisha ndani ya kipato changu bila kunistress na tamaa za kijinga!?
Sipo tayari kuiacha na kwa sababu sipo tayari kuiacha basi ndo tutafute namna ambayo sitakuwa nafanya majukumu mengi kukuzidi wewe ili nisichoke

Halafu baadaye nikishindwa kukutimizia haja zako useme "mke wangu ananinyima unyumba bila sababu acha nitafute mchepuko" tunatakiwa kukubaliana either na kazi za nyumbani tusaidiane au tutafute mfanya kazi ambaye atafanya kazi zote za nyumbani

Na siyo tena baadaye uanze kulalamika kuwa kazi zote nimemuachia mfanyakazi halafu unaanza kutembea naye huo sasa ni ujinga kama unataka kazi afanye mkeo na wewe si umsaidie?

Unajua hili jambo wanaume hamjakaa kulitafakari na wala hamtaki kulitafakari kwa sababu haliwahusu kwa sababu ninyi ni wanaume na siyo wanawake ila hamjui tu jinsia gani tunachoka na ndo maana wanawake wengi sana wakitafuta pesa zinakuwa ni za kwao tu hawafanyii maendeleo yoyote kwenye familia
 
@Edelyn]
Uwe unajiskiliza kabla hujapost basi mtu wangu.

Hivi ulishawahi kushuhudia baba yako anaosha vyombo badala ya mama yako, au anapiga deki nyumba akitoka kazini?
 
Hahah mngekuwa mnazitafuta kwa nguvu na bidii hivyo vilio vya kutaka kupewa hela vingepungua humu.
Otherwise ni mambo mbaya tu itahappen!
Siku wanaume mkikubali kwamba kufanya kazi za nyumbani ni jukumu lenu pia basi hata wanawake tutakubali kwamba kutafuta pesa ni jukumu letu pia hata hivyo sisi tumeshaanza kukubali kuwa kutafuta pesa ni jukumu letu pia ila ninyi bado hamtaki kukubali kuwa kufanya kazi za nyumbani ni jukumu lenu pia
 
Sijawahi lakini pia baba ndo aliyekuwa anahudumia familia nzima na siyo mama sasa hapa mimi naongelea wale wanaume ambao mke anasaidia majukumu yote ya mume ila mume majukumu ya mke hasaidii hivi kwani tunashindwa kuelewana nini hapo? Kama hautaki kumsaidia mkeo kwanini yeye unataka akusaidie?
 
Maishaaaa! Yani hio biashara unayolazimisha labda umpate boyfriend wa kitasha...Na kwanini ulazimishe hilo?
Wewe binti wa kitanzania umelelewa umeona sasa sijui ubishi wa nini! Wewe ni mwanamke na utafanya majukumu ya nyumbani bila exceptions kama hutaki spend the rest of your life a single momma.
 
Huwa mnanichekesha, ilapokuja suala la majukumu yetu mnashupaza shingo na misuli yote. Majukumu yenu sasa mnataka tuwasaidie[emoji23][emoji23][emoji23] SMH
 
@Edelyn,
Reference ni mamaako tu na naimani umekulia katika family iliyostaarabika. Yale aliyofanya mama yako kama majukumu ya mke ni wajibu wewe pia uyafanye.
Kazi za ndani utafute namna kama zitakushinda weka beki 3 other than that wewe una asili ya uvivu flani.

Mwanamke wa kikweli hashindwi majukumu yake tena anafurahi na kuyachangamkia. We inaonesha unaumia sana kufanya majukumu yako so unatafta justification za kuya dodge.

Ukumbuke hamna anaekulazimisha ufanye kazi na wala usiitumie kama kigezo cha kukwepa kuwa mke.
 
Huwa mnanichekesha, ilapokuja suala la majukumu yetu mnashupaza shingo na misuli yote. Majukumu yenu sasa mnataka tuwasaidie[emoji23][emoji23][emoji23] SMH
Hamna alieomba kusaidiwa jukumu lakini. Hata usipofanya hio kazi familia itaenda tu mind that!
Usitumie kazi kama kichaka cha kuficha tabia yako ya uvivu!
 
Hahah mngekuwa mnazitafuta kwa nguvu na bidii hivyo vilio vya kutaka kupewa hela vingepungua humu.
Otherwise ni mambo mbaya tu itahappen!
Kweli mkuu mm nawashangaa madada blackish ama African ladies.
Wenzao Asians wakiwa na hela wanakuhudumia aisee km mm ktk ujana wangu nimelelewa sana na mitoto ya kiarabu ila ndio hvyo wana wivu sana had choon wakusindikize.
Ila kupata mparee mara chupi imetoboka mara naenda buchani kusuka yan alot of.
Embu wajifunze toka kwa whites angalau jaman
 
Hamna alieomba kusaidiwa jukumu lakini. Hata usipofanya hio kazi familia itaenda tu mind that!
Usitumie kazi kama kichaka cha kuficha tabia yako ya uvivu!
Thubutuuu mambo gani yaende kwamfani!!!

Sio uvivu ila hamjielewi na hamna huruma na wenzenu.
 
Maishaaaa! Yani hio biashara unayolazimisha labda umpate boyfriend wa kitasha...Na kwanini ulazimishe hilo?
Wewe binti wa kitanzania umelelewa umeona sasa sijui ubishi wa nini! Wewe ni mwanamke na utafanya majukumu ya nyumbani bila exceptions kama hutaki spend the rest of your life a single momma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila unanifurahisha sana sema hivi wewe ndo hauwezi kufanya hayo ila wapo wanaume wengi tu wanafanya siyo kwamba kwa sababu tunapiga kelele humu basi ndo udhani labda hatujui kuwa kuna wanaume wanafanya wapo tena wengi tu ila tunataka na wanaume wengine muige mfano wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijawahi lakini pia baba ndo aliyekuwa anahudumia familia nzima na siyo mama sasa hapa mimi naongelea wale wanaume ambao mke anasaidia majukumu yote ya mume ila mume majukumu ya mke hasaidii hivi kwani tunashindwa kuelewana nini hapo? Kama hautaki kumsaidia mkeo kwanini yeye unataka akusaidie?
Dada unashindwa kuielewa point muhimu.
Mwanamke bora wa kujenga nae familia ni mwenye matumizi sahihi na pia ikitokea kidume kakwama yeye husaidia.
Lakin nyie wenzetu mna matumizi yasiyo na tija wala na maana mpk mnapunguza hela ya mboga mkanunue vipodozi.
Kuhudumiwa mnahudumiwa vizury tyyyu ila nyie madada zetu ni wale msione vichaka mavi yanawabana kiasi mnataka mambo out of control hapo ndipo tunaposhindwana nanyi
 
Extrovert, ]Ukisema kwamba mwanamke anayetafuta pesa na asiyetafuta pesa wote sawa na wanatakiwa wafanye kazi za nyumbani kwa usawa ni sawa na kusema mwanaume tajiri na mwanaume masikini wote sawa na wote wanatakiwa wahudumie wake zao kwa usawa bila kujali kipato chao wala uwezo wao kwa sababu tu hilo ni jukumu lao si ndiyo?
 
Kweli mkuu mm nawashangaa madada blackish ama African ladies.
Wenzao Asians wakiwa na hela wanakuhudumia aisee km mm ktk ujana wangu nimelelewa sana na mitoto ya kiarabu ila ndio hvyo wana wivu sana had choon wakusindikize.
Ila kupata mparee mara chupi imetoboka mara naenda buchani kusuka yan alot of.
Embu wajifunze toka kwa whites angalau jaman
Hao whites unaosema tujifunze kutoka kwao kumbuka wanaume wanapika, wanafua, wanaosha vyombo, wanafanya usafi tena huku wake zao wapo na wala hawaumwi na kwao wanaona ni kitu cha kawaida sasa kwa blacks wanaume mnaweza kufanya hayo?
 
Ummayed, Hebu twende taratibu kwanza umesema mnapokwama tunasaidia? Kwahiyo hadi hapo bado unamaanisha kwamba wanawake tunatakiwa kutafuta pesa ili mkikwama tuwasaidie bado tunarudi pale pale na ndo hapo tunaposema mbona ninyi hamtaki kutusaidia kazi za nyumbani?
 
Back
Top Bottom