Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Kwa uwandishi huu usio na nukta mkato paragraph herufi kubwa.

Na ulikuwa Chuo asee ndo napo pata wazo kweli vyuo tulivyo navyo basi ni kichef chefu asee.

Maana hakika kusoma maandishi ya hivyo lihali huu mtandao una hudumia walengwa wa rika zote basi akili yako ni fupi kama kisheti[emoji23]
 

acha makasiriko umeandika kwa hisia sana hii ni app sio chuo wala darasan una akil za kitumbua kama cha mama ako
 
Achana nao chukua wa Masaki na Kunduchi huko
 
Ila na wewe kulalamika ni dalili ya kuwa unapenda slope
Uongo kiongozi?
 
💯 kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…