Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi;
""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba,
Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi kuu,
Haikuwasiliana na ofisa yeyote wa mchezo, Timu mwenyeji Wala mamlaka ya uwanja kuhusu Nia yao ya kufanya mazoezi katika uwanja huo Ili maandalizi ya kikanuni yafanyike"".
Mwisho wa kunukuu.
Swali je? Hivi ndivyo timu ambayo ina uwekezaji mkubwa na wanajisifia kuwa inaendeshwa kisasa inatakiwa kuwa! Nawasilisha.