Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
- Thread starter
- #21
Basi mi nilielewa umenikaribisha Kwa kuwa umeona ID yangu hapo ina cheo cha kuruta,Ukiona mtu anakukaribisha haina maana kana kwamba wewe ni Mgeni.
Na mtu matured kabisa hawezi akatumia maneno kama.
Chura.
Utopolo
Nyuma Mwiko.
Gongo wazi
Makolo
Mbumbumbu Nk
Fifa wenye mpira wao wanasisitiza sana sana Fair play.
Halafu kuhusu majina ya utani hayo yapo tu mkuu japo sio rasmi, ila ukienda google uka search "utopolo" zinakuja habari za yanga, kinachokatazwa ni uadui ila utani unaruhusiwa.