Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Zingatia haya maneno hapo mwisho wa nukuu:Kwani kwenye hiyo kanuni kuna mahali kumeandikwa lazima utoe taarifa au iwasiliane na hao wote iliowataja?
Halafu tabia nyingine ya mbumbumbu ni kukimbilia kutukana badala ya kumjibu mtu kistaarabu na kwa kujenga hoja.Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi;
""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba,
Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi kuu,
Haikuwasiliana na ofisa yeyote wa mchezo, Timu mwenyeji Wala mamlaka ya uwanja kuhusu Nia yao ya kufanya mazoezi katika uwanja huo Ili maandalizi ya kikanuni yafanyike"".
Mwisho wa kunukuu.
Swali je? Hivi ndivyo timu ambayo ina uwekezaji mkubwa na wanajisifia kuwa inaendeshwa kisasa inatakiwa kuwa! Nawasilisha.
Ni " guten morgen" .Karibu sana Jamii Forum.
Hapa ni Home of Great thinkers.
Wasilisha Ujumbe wako kwa Lugha Rafiki na sio Mipasho na Umbea.
Anyway una Uhuru wa Kutoa maoni.
Suala la Mchezo wa Simba na Yanga hata Mburukenge wataliongea.
Ujumbe wangu utakaokutana nao sana hapa.
"Ukishabikia sana simba na Yanga kichwani zinaanza Kulegea Unajikuta unaanza kuwa Mpumbavu na Mjinga".
Gooten Morgen.
KWA ANDIKO HILI HII TIMU NI MBOVU NA INA VIONGOZI WAJINGA,ILA HILI LISIFUNIKE UPUUZI WA TIMU NYINGINE KUTUMIA MAJAMBAZI KWA SABABU TIMU HII JINGA HAIIUTIMIZA WAJIBU.VIVYO HIVYO HAO WALIOTOA HIYO RIPOTI WASIACHWE KUHUKUMIWA KWA SABABU WANAHITAJI KUTUELEZA KWANINI HATUA WALIZOCHUKUA HAZILINGANI NA HUKUMU WALIYOTOA.NA WEWE UKITAKA KUONDOA UTATA WA JAMBO USIOKOTE TUKIO MOJA MOJA.KILA MTU AMEJINYEA KWENYE HILI SUALA.BAADA YA HAPA MIMI NA WEWE NA SEREKALI TWENZETU ETHIOPIA TUKANUNUE UMEME NA TUVUMILIE KUPANDA KWA PETROL.Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi;
""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba,
Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi kuu,
Haikuwasiliana na ofisa yeyote wa mchezo, Timu mwenyeji Wala mamlaka ya uwanja kuhusu Nia yao ya kufanya mazoezi katika uwanja huo Ili maandalizi ya kikanuni yafanyike"".
Mwisho wa kunukuu.
Swali je? Hivi ndivyo timu ambayo ina uwekezaji mkubwa na wanajisifia kuwa inaendeshwa kisasa inatakiwa kuwa! Nawasilisha.
Sawa mkuu ila hiyo hoja ya mwisho hapo haihusiani na jukwaa la sports,halafu nataka kujua ushahidi gani umetumika kujua hao majambazi wametumwa na yanga!, je! Wapo kwenye orodha ya kutambulika na mamlaka ya mpira wetu?.KWA ANDIKO HILI HII TIMU NI MBOVU NA INA VIONGOZI WAJINGA,ILA HILI LISIFUNIKE UPUUZI WA TIMU NYINGINE KUTUMIA MAJAMBAZI KWA SABABU TIMU HII JINGA HAIIUTIMIZA WAJIBU.VIVYO HIVYO HAO WALIOTOA HIYO RIPOTI WASIACHWE KUHUKUMIWA KWA SABABU WANAHITAJI KUTUELEZA KWANINI HATUA WALIZOCHUKUA HAZILINGANI NA HUKUMU WALIYOTOA.NA WEWE UKITAKA KUONDOA UTATA WA JAMBO USIOKOTE TUKIO MOJA MOJA.KILA MTU AMEJINYEA KWENYE HILI SUALA.BAADA YA HAPA MIMI NA WEWE NA SEREKALI TWENZETU ETHIOPIA TUKANUNUE UMEME NA TUVUMILIE KUPANDA KWA PETROL.
Kweli mkuu hili swala limekua gumu ndo maana baadhi ya viongozi wa mpira wetu kwenye mahojiano wanakua wakali.Nilimsikia Julio akihojiwa juu ya sakata la mchezo wa Yanga na Simba ambao haukufanyika, Alimwambia mwandishi : Mimi nimefunga Ramadhan na kaulizangu zime nyooka.
Nisingependa kuelezea mtazamo wangu juu ya hili swala kwakua kuna viongozi wa Mpira watachukia na Wana Simba watanichukia.
Mimi katika ili sina tatizo na Yanga.
Naomba ndugu mwandishi katika ili tuishie apo nisi ingie matatizoni.
Mwandishi akamweleza kua ame eleweka.
Kwa maoni yangu huitaji D mbili kuelewa kwanini Julio alizungumza hivyo.
Sawa mkuu CAPO DELGADO ila ukimuona mtu kwenye nyumba mpya,usidhani ndo amehamia Leo mjini.Karibu sana Jamii Forum.
Hapa ni Home of Great thinkers.
Wasilisha Ujumbe wako kwa Lugha Rafiki na sio Mipasho na Umbea.
Anyway una Uhuru wa Kutoa maoni.
Suala la Mchezo wa Simba na Yanga hata Mburukenge wataliongea.
Ujumbe wangu utakaokutana nao sana hapa.
"Ukishabikia sana simba na Yanga kichwani zinaanza Kulegea Unajikuta unaanza kuwa Mpumbavu na Mjinga".
Gooten Morgen.
Sawa mkuu CAPO DELGADO ila ukimuona mtu kwenye nyumba mpya,usidhani ndo amehamia Leo mjini.
Hapa uulize kwanini kosa la majambazi litumike kama kisingizio na hatimae mechi iahirishwe.Ina maana majambazi Wana kimamlaka fulaniSawa mkuu ila hiyo hoja ya mwisho hapo haihusiani na jukwaa la sports,halafu nataka kujua ushahidi gani umetumika kujua hao majambazi wametumwa na yanga!, je! Wapo kwenye orodha ya kutambulika na mamlaka ya mpira wetu?.
Basi tuseme mbumbu fc hoyeeeBila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi;
""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba,
Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi kuu,
Haikuwasiliana na ofisa yeyote wa mchezo, Timu mwenyeji Wala mamlaka ya uwanja kuhusu Nia yao ya kufanya mazoezi katika uwanja huo Ili maandalizi ya kikanuni yafanyike"".
Mwisho wa kunukuu.
Swali je? Hivi ndivyo timu ambayo ina uwekezaji mkubwa na wanajisifia kuwa inaendeshwa kisasa inatakiwa kuwa! Nawasilisha.
Ni muhimu kutoa taarifa maana sio muda wote wasimamizi wa uwanja wanakuwepo pale kukusubiri wewe, au wewe Kwa mawazo yako unajua uwanja unakuwa wazi muda wote haufungwi! Au unadhani meneja wa uwanja Hana kwake na wala Hana shughuri zingine za kufanya!.Kwani kwenye kananuni imeandikwa ni muda gani haswa taarifa inapaswa kutolewa?
Yaani tupe muda ukiwa kwenye siku/masaa uliopo kikanuni ambao timu mgeni anapaswa kutoa taarifa kwa wahusika za kwamba atautumia uwanja wa mchezo kwa mazoezi kabla ya mchezo husika au vinginevyo.
Hebu mleta mada tufafanulie ndo tuendelea kuchangia....