Ni muhimu kutoa taarifa maana sio muda wote wasimamizi wa uwanja wanakuwepo pale kukusubiri wewe, au wewe Kwa mawazo yako unajua uwanja unakuwa wazi muda wote haufungwi! Au unadhani meneja wa uwanja Hana kwake na wala Hana shughuri zingine za kufanya!.