Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest !
naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena.

Anyway wiki hii nilikuwa na wageni studio, tunadiskasi kuhusu ndoa Kwa ujumla, Kila mmoja alifunguka Kwa jinsi anavyoishi ndoa yake Ila mgeni mmoja alinishangaza maana Namjua ana ndoa ya Miaka 10 lakini Hana furaha
Mgeni: Money Stars (Money Penny), ndoa Kwa upande wangu nashindwa kuielezea lakini imefika mahali nataka nitoke tu hapo mume wangu, watoto na wakwe hawajui

Kusema kweli siko na furaha kwenye ndoa yangu, ndio niliolewa Kwa harusi kubwa, TULIKUWA tunapendana kama MARAFIKI lakini mwanaume tangu ameingia kwenye ndoa alibadilika baada ya Sisi kupata mtoto mmoja
Money Penny: kivipi?
Mgeni:
1. Mawasiliano yetu yalipungua, nikawa lonely tukawa hatu connect, zamani SMS na simu zilikuwa nyingi siku hizi hamna kabisa

2. Anarudi nyumbani amechelewa akija ananikuta nimelala anaondoka Asubuhi Sana.

3. Sioni Upendo Kwa mume tena, kama zamani

Ndio analeta chakula ndani lakini Mapenzi Penny NI zaidi ya Chakula kifupi simwelewi na huu NI mwaka WA 10 WA ndoa
Nimejaribu Kuongea nae lakini naona kama hatuelewani nadhani anahisi naongea kichina sijui
Money Penny: mmejaribu kwenda counselling labda?!
Mgeni: hataki kusikia hayo mambo kabisa sielewi Mume wangu amelogwa?!

Kwakweli likija kwenye swala la ndoa, sishauri waingie kwenye ndoa Kwa haraka, Bora wake hata Miaka 3 au 4 ndio waoane, lakini hata hivyo wamwombe Mungu Sana, wanaume sijajua huwa wanabadilikaga wapi wakishaingia kwenye ndoa.

Hizi ndoa hizi ndoa hizi, naona vijana wanatamani Sana ndoa Ndoa Ndoa, lakini wenye ndoa wengi hawana Raha, wenye Raha kwenye maisha NI wale walioko singo Tu, natamani kuwa singo Kwa sasa lakini sielewi Jamii itanionaje sina Raha na ndoa yangu kabisa

Hizi ndoa, ndoa Ndoa hizi money penny, washauri vijana wasikimbilie kabisa, hakuna Raha yeyote🙆😭
 
washauri vijana wasikimbilie kabisa, hakuna Raha yeyote[emoji134][emoji24]..... Once you fall in love this is what gonna happen..

Jr[emoji769]
Best nawe ushalizwa kwenye ndoa au?! 🚶🚶🚶
 
Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest !
naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena.

Anyway wiki hii nilikuwa na wageni studio, tunadiskasi kuhusu ndoa Kwa ujumla, Kila mmoja alifunguka Kwa jinsi anavyoishi ndoa yake Ila mgeni mmoja alinishangaza maana Namjua ana ndoa ya Miaka 10 lakini Hana furaha
Mgeni: Money Stars (Money Penny), ndoa Kwa upande wangu nashindwa kuielezea lakini imefika mahali nataka nitoke tu hapo mume wangu, watoto na wakwe hawajui

Kusema kweli siko na furaha kwenye ndoa yangu, ndio niliolewa Kwa harusi kubwa, TULIKUWA tunapendana kama MARAFIKI lakini mwanaume tangu ameingia kwenye ndoa alibadilika baada ya Sisi kupata mtoto mmoja
Money Penny: kivipi?
Mgeni:
1. Mawasiliano yetu yalipungua, nikawa lonely tukawa hatu connect, zamani SMS na simu zilikuwa nyingi siku hizi hamna kabisa
2. Anarudi nyumbani amechelewa akija ananikuta nimelala anaondoka Asubuhi Sana,
3. Sioni Upendo Kwa mume tena, kama zamani

Ndio analeta chakula ndani lakini Mapenzi Penny NI zaidi ya Chakula kifupi simwelewi na huu NI mwaka WA 10 WA ndoa
Nimejaribu Kuongea nae lakini naona kama hatuelewani nadhani anahisi naongea kichina sijui
Money Penny: mmejaribu kwenda counselling labda?!
Mgeni: hataki kusikia hayo mambo kabisa sielewi Mume wangu amelogwa?!

Kwakweli likija kwenye swala la ndoa, sishauri waingie kwenye ndoa Kwa haraka, Bora wake hata Miaka 3 au 4 ndio waoane, lakini hata hivyo wamwombe Mungu Sana, wanaume sijajua huwa wanabadilikaga wapi wakishaingia kwenye ndoa.

Hizi ndoa hizi ndoa hizi, naona vijana wanatamani Sana ndoa Ndoa Ndoa, lakini wenye ndoa wengi hawana Raha, wenye Raha kwenye maisha NI wale walioko singo Tu, natamani kuwa singo Kwa sasa lakini sielewi Jamii itanionaje sina Raha na ndoa yangu kabisa

Hizi ndoa, ndoa Ndoa hizi money penny, washauri vijana wasikimbilie kabisa, hakuna Raha yeyote🙆😭
Ukikosea kuoa au kuolewa utajuta maisha yako yote
 
Huyo kasema -

"Ndio analeta chakula ndani lakini Mapenzi Penny NI zaidi ya Chakula"......

ex wife wa Mabeste kasema -

"Najua ananipenda na kila siku anasema nakupenda mke wangu lakini nakupenda haileti ugali mezani, nakupenda hailipi ada za watoto"

How to do check and balance kwa hawa viumbe jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona wanatushutumu ambao hatujaingia ndoani tunaambiwa tuna tabia mbaya pia wanadai ndoa ni heshima.
Wakuache best, we ishi maisha yako, tafuta furaha yako, Ndoa utakuja Tu🙏
Hao wanaokushitumu wanalia Tu NI vile hawakuambii wanakuonea wivu kwanini wewe unafuraha haujaolewa wao wameolewa wanalia?!
Akili kumkichwa shangazi
 
Huyo kasema -

"Ndio analeta chakula ndani lakini Mapenzi Penny NI zaidi ya Chakula"......

ex wife wa Mabeste kasema -

"Najua ananipenda na kila siku anasema nakupenda mke wangu lakini nakupenda haileti ugali mezani, nakupenda hailipi ada za watoto"

How to do check and balance kwa hawa viumbe jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Akili kumkichwa boss
 
Back
Top Bottom