Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

washauri vijana wasikimbilie kabisa, hakuna Raha yeyote[emoji134][emoji24]..... Once you fall in love this is what gonna happen..

Jr[emoji769]
Sasa hata wakichelewa si wataingia tuuu...Ama unashauri wasioe kabisa?
 
Huyo kasema -

"Ndio analeta chakula ndani lakini Mapenzi Penny NI zaidi ya Chakula"......

ex wife wa Mabeste kasema -

"Najua ananipenda na kila siku anasema nakupenda mke wangu lakini nakupenda haileti ugali mezani, nakupenda hailipi ada za watoto"

How to do check and balance kwa hawa viumbe jamani?


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo napataga wazimu......
 
Back
Top Bottom