Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest !
naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena.

Anyway wiki hii nilikuwa na wageni studio, tunadiskasi kuhusu ndoa Kwa ujumla, Kila mmoja alifunguka Kwa jinsi anavyoishi ndoa yake Ila mgeni mmoja alinishangaza maana Namjua ana ndoa ya Miaka 10 lakini Hana furaha
Mgeni: Money Stars (Money Penny), ndoa Kwa upande wangu nashindwa kuielezea lakini imefika mahali nataka nitoke tu hapo mume wangu, watoto na wakwe hawajui

Kusema kweli siko na furaha kwenye ndoa yangu, ndio niliolewa Kwa harusi kubwa, TULIKUWA tunapendana kama MARAFIKI lakini mwanaume tangu ameingia kwenye ndoa alibadilika baada ya Sisi kupata mtoto mmoja
Money Penny: kivipi?
Mgeni:
1. Mawasiliano yetu yalipungua, nikawa lonely tukawa hatu connect, zamani SMS na simu zilikuwa nyingi siku hizi hamna kabisa

2. Anarudi nyumbani amechelewa akija ananikuta nimelala anaondoka Asubuhi Sana.

3. Sioni Upendo Kwa mume tena, kama zamani

Ndio analeta chakula ndani lakini Mapenzi Penny NI zaidi ya Chakula kifupi simwelewi na huu NI mwaka WA 10 WA ndoa
Nimejaribu Kuongea nae lakini naona kama hatuelewani nadhani anahisi naongea kichina sijui
Money Penny: mmejaribu kwenda counselling labda?!
Mgeni: hataki kusikia hayo mambo kabisa sielewi Mume wangu amelogwa?!

Kwakweli likija kwenye swala la ndoa, sishauri waingie kwenye ndoa Kwa haraka, Bora wake hata Miaka 3 au 4 ndio waoane, lakini hata hivyo wamwombe Mungu Sana, wanaume sijajua huwa wanabadilikaga wapi wakishaingia kwenye ndoa.

Hizi ndoa hizi ndoa hizi, naona vijana wanatamani Sana ndoa Ndoa Ndoa, lakini wenye ndoa wengi hawana Raha, wenye Raha kwenye maisha NI wale walioko singo Tu, natamani kuwa singo Kwa sasa lakini sielewi Jamii itanionaje sina Raha na ndoa yangu kabisa

Hizi ndoa, ndoa Ndoa hizi money penny, washauri vijana wasikimbilie kabisa, hakuna Raha yeyote🙆😭
Achague moja, mapenzi au njaa 🤣🤣🤣??? Ku hustle pamoja hamtaki mnataka mkute hela kisha mnademand na time ya mume kweli?
 
Ahojiwe vzr ukiona sisi wanaume tunasmua kubadilika tatizo lipo kwa mke inawezekana alijisahau mahali flani alafu akipewa maelekezo ubishi na inaonekana ana mdomo Sana ndio maana jamaa hataki contact anakuja usiku then swalaswala mbiooo hio ndo dawa ya mwanamke mchonga ngenga
 
Achague moja, mapenzi au njaa 🤣🤣🤣??? Ku hustle pamoja hamtaki mnataka mkute hela kisha mnademand na time ya mume kweli?
Hata Biblia umeandika wanaume mtoe Muda Kwa MKE na familia kama Kristo alivyotoa muda akaja Duniani akaacha Mbingu akakaa Miaka 33
Wewe kutoa Lisaa 1 Kwa MKE hutaki unasema unatafuta pesa🙆🙆🙆
Shauriako mbwa Koko watakusaidia kumnyonya mkeo 🏃🏃🏃🏃
 
Ahojiwe vzr ukiona sisi wanaume tunasmua kubadilika tatizo lipo kwa mke inawezekana alijisahau mahali flani alafu akipewa maelekezo ubishi na inaonekana ana mdomo Sana ndio maana jamaa hataki contact anakuja usiku then swalaswala mbiooo hio ndo dawa ya mwanamke mchonga ngenga
Nyieeeeeee wanaume muwe mnawanyonya wanawake K zao la sivyo mbwa atawasaidia🏃🏃
 
Hata Biblia umeandika wanaume mtoe Muda Kwa MKE na familia kama Kristo alivyotoa muda akaja Duniani akaacha Mbingu akakaa Miaka 33
Wewe kutoa Lisaa 1 Kwa MKE hutaki unasema unatafuta pesa🙆🙆🙆
Shauriako mbwa Koko watakusaidia kumnyonya mkeo 🏃🏃🏃🏃
na wamtafune tu
 
Back
Top Bottom