Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

Shida kubwa kwenye haya mausiano,watu wengi wanaingia na imagination kubwa sana....huko ndio kufell.
 
NAKAZIA
 
Miaka 10 kavumilia yote hayo...leo ndo anasema kashindwa.

Nahisi ni wanawake wachache sana wanaoingia kwenye ndoa kwa MAPENZI..

Majority wana sababu zao, nje kabisa. Ndo haya tunayoyaona.

Mwambie aende TU..!

Tusichoshane.
 
Ndoroooboe 🚢🚢🚢🚢
 
Kwamba wanaume ndo wanaingia ndoani kwa mapenziπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…