Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

Sijui hili ni tatizo la tanzania au africa au dunia, lakini nimeliona sana kwa sisi watanzania tunapenda sana kujumlisha mambo, yani mtu ndoa yake imemshinda basi anajumlisha ndoa zoooote ni mbaya na kuwahusia watu wasiolewe eti kwenye usingo ndo kuna furaha, alishaonga na hao singo wakamwambia wana furaha, mimi nina rafiki zangu hawajaolewa jamani wana stress vibaya mno wanatamani Mungu awatendee muujiza wa ndoa leo kesho, kwahiyo kila kundi lina watu wake sio woooote wako kama wewe. Mimi niko ndani ya ndoa nina furaha nina amani kila nnapokumbuka Neema niliyonayo namwambia Mungu asante
 
Kwako kama imeenda poa..Endelea kumshukuru Mungu
 
Hao mademu unaoongea NAO wako Kwa kanisa, sasa Nani anachukua demu Kwa kanisa sahivi??
Ongea na waliopo singo mtaani usikie wanasemaje, wanakula BATA Dubai, South Africa, Malaysia, Singapore, UK, USA, kifupi wanaishi maisha yote sio hao WA kwako wanalia Lia ovyo na kuwa frustrated
Ps:
Usifanye uchunguzi (research) yako kanisani Tu, njoo na mtaani
 
mmesikia Smart911 Cr wa familia Seth saint mshamba_hachekwi
 
Sasa mbona wanatushutumu ambao hatujaingia ndoani tunaambiwa tuna tabia mbaya pia wanadai ndoa ni heshima.
Ndoa ni chaka la kujificha ili upige matukio vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…