Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Sasa kama amekimbia ugomvi si anajikuta popote tu mkuu
Mwanaume ukiwa na hela hata ndoa ikiwa ngumu huwezi kuweweseka mtaachana ila utakuwa na utulivu wa nafsi,sasa ole wako uwe huna kitu,utaongea mwenyewe
 
Mwanaume ukiwa na hela hata ndoa ikiwa ngumu huwezi kuweweseka mtaachana ila utakuwa na utulivu wa nafsi,sasa ole wako uwe huna kitu,utaongea mwenyewe
Kuna waliofanya maendeleo pamoja
Kuna wafia ndoa wasiotaka kuukubali ukweli wanalazimisha yawezekane hata yakiwa magumu...
 
Mwanamke akileta ujinga piga matukio m pp aka aombe po mwwnyewe
 
ndoa zipo hivyo anawajibika kuwa tough
 
Kazi kweli. Kuna mwingine huku kamchoma mume kisu tumboni. Mume kakaa miezi haendi kibaruani kumbe anauguza kidonda. Wameitwa kusuluhishwa na wazazi. Naona mke karudi.
Mnawezaje kuishi pamoja kwa hali kama hii.
 
Pole sana
 
Mwl aliyenifundisha nimepata taarifa Jana kawa kichaa baada ya kugundua watoto wote aliolea na kusomesha shule nzuri nzuri sio wake (alikuwa anajibana wanasoma medium)
Mbaya zaidi mke anazidi kung'aa na watoto wanaelekea chuo
Wanaume wengi hawawezi mshikemshike kwenye mahusiano. Pamoja na maguvu yoteeee walojaaliwa
Vifua vya uvumilivu tumejaaliwa sie wanawake.
Usiku unaliaaaaa, asubuhi ukiamka unaendelea na misheard zako km kawaida hamna anaekujua
 
Ukikua utajua
 
Pole yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…