Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Kwanza u naanzaje kumnyima mume haki yake wakat hata huumwi?
Huu ni unyanyasji wa kijinsia unaofumbiwa macho na wana harakati
K sio kitu ya kumnyima mume, wafungwe maisha wanaofanya hivyo, kuna watakaosema utampa na atachepuka, lakini ile ni starehe we mpe kwa kutafuta raha yako hayo ya kuchepuka ni mengineyo
 
Back
Top Bottom