Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi.
Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye sura na maongezi ya upolee yuko busy anaongea na simu....
Anaonekana anaongea na mshkaj wake anamuelezea Mambo ya familia yake.... Yaani anasema hapo alipo hajui hata anaenda wapii Ila hawezi Kurudi nyumbani kwa Yule mwanamke maana anaweza kumpasua akamuua akapata kesii. Bora akae kituo cha daladala.
Badae nkamsikia anasema ".....basi ngoja nichukue daladala nikufwate Nije huko Mara Mia ....". Akadandia daladala huyooooo akatokomea na gari ya bunju.

Sasa jamani mnaishi na Simba ndani kwamba Bora ukae kituo cha daladala kuliko nyumba ambayo mkeo mpendwa uliyemlipia mahari huenda kubwa anaishi?? Ilikuwaje ukamuoa mtu wa hivi? Ni mhemko au?
A see ndoa zimegeuka ndoano kwa wengi Ila ishini humo Hadi mfe tuwazike.
Asanten.
Wanawake wakiwa wanasaka ndoa aaah wakarimu wanautii na mbususu unasusiwa ila sasa akishapata kile cheti ndio utajua kuwa ni mtu wa namna gani
 
Sura ya Hela ikoje ...
Iko kama hivi...😅
FW4ueatWYAAXY4i(0).jpg
 
Kwanini usikilize yasiyokuhusu
 
Huenda ni Dr kama.alivyokuwa D. Sla,muda.mwengi unajitafuta kielemu kumbe Kuna elimu ya kitaa inakupita,wanaume ukiona msela
anawachapa nao wanawake kwa sana kabla ya marriage ujue anapata uzoefu,Hawa pusy cut wale tuliowaxhukulia poa tukiwa tunakuwa kwa sasa ni majuto,
1.Ukimuoa akagundua huna experience anakugeuza kituo cha utafiti wa ulozi,atakuroga ili ufuate ayatakayo,
2.Atakutenganisha wewe na familia yako ili akupate na mzigo wa ziada uelekeze anga zake,
3.Kwa kua Hana elimu.ataharibu watoto na kukuacha muda wote na stress
4.Atakubamba na kukupiga code ili usipige nje ukagundua weakness zake.
5.Utaanza kukea side yake kama wako low economy
6.Kuna.uwezekano wa mauaji sababu mjinga akistuka inakuwa Islael vs U.E
Sina cha kuongeza.
 
Mkaka msafiiii
Mrefuu
Maji ya kunde ya kung'aa a. K. A rangi ya pesa afu mapenz yanamtesaa
Wewe mwenyewe huenda hii kitu unaweza mfanyia mtu,unaonekana unapenda vya kuwaka na ndani vina element za kushindaniwa.
 
Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi.
Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye sura na maongezi ya upolee yuko busy anaongea na simu....
Anaonekana anaongea na mshkaj wake anamuelezea Mambo ya familia yake.... Yaani anasema hapo alipo hajui hata anaenda wapii Ila hawezi Kurudi nyumbani kwa Yule mwanamke maana anaweza kumpasua akamuua akapata kesii. Bora akae kituo cha daladala.
Badae nkamsikia anasema ".....basi ngoja nichukue daladala nikufwate Nije huko Mara Mia ....". Akadandia daladala huyooooo akatokomea na gari ya bunju.

Sasa jamani mnaishi na Simba ndani kwamba Bora ukae kituo cha daladala kuliko nyumba ambayo mkeo mpendwa uliyemlipia mahari huenda kubwa anaishi?? Ilikuwaje ukamuoa mtu wa hivi? Ni mhemko au?
A see ndoa zimegeuka ndoano kwa wengi Ila ishini humo Hadi mfe tuwazike.
Asanten.
Sijamaliza kusoma ila nachoweza kusema: NDOA NI KWAAJILI YA WANAWAKE (labda na wanaume wajinga pia ndoa zinaweza kuwafaa)
Mwanaume unayejitambua USIOE kwa faida ya afya yako ya mwili, akili na uchumi.
#KATAANDOA
 
Wanawake wakiwa wanasaka ndoa aaah wakarimu wanautii na mbususu unasusiwa ila sasa akishapata kile cheti ndio utajua kuwa ni mtu wa namna gani
Ukishafanya mtihani ukafaulu huna haja ya kujisomea tena
 
Back
Top Bottom