raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Oyaaa Kapeace mpo wapi jamani mtupe vitu 😊Kwakweli hata ukibana haina maana unabana ya nini tuwape watoto wa mama mkwe nasi tutabarikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaa Kapeace mpo wapi jamani mtupe vitu 😊Kwakweli hata ukibana haina maana unabana ya nini tuwape watoto wa mama mkwe nasi tutabarikiwa
😅😅😅huwezi hata kwa dakika 5Haya ngoja nikawe mzee wa kanisa sasa
Umekiwasha kichwa moto 😊
Mumeo anainjoi sana aisee, mimi nashangaa sana wanawake wanaotunyima K sasa wamepewa ya nini itenge hapo isuguliwe ule mema ya nchiTukuleni tu hakuna namna ndo kazi ya k hailimi wala haitembei, kazi ni moja kusuguliwa
Lawama ziende kwa Mzee wa kupambaniaOyaaa Kapeace mpo wapi jamani mtupe vitu 😊
Ni kosa dogo sana maana linarekebishika ndani ya sekunde tuHakuna kosa kubwa kama kukosea kuoa.
ukimaanisha nini mkuuHahahaha ila mkuu mimi nafikiri ndoa ni zaidi ya mwanamke kuwa pisi kali 🤔
Kwann tenaLawama ziende kwa Mzee wa kupambania
Kwanza mwanamke anapata wapi mamlaka ya kufumania?Wanaume wa maudhi yao hapo unaweza kuta kafumaniwa na mkewe sasa mke kamuwashia moto ndani hakukaliki,
Sio rahisi sana...Ila ikifikia hii hali ya kuikimbia nyumba sababu ya kero zilizozidi za mwenza ni vyema kupata break kwanza
Umempagawisha raraa reree vijana damu zimechamka wanataka wamwage motoLawama ziende kwa Mzee wa kupambania
Mwili unatetemeka kwa maneno ya Kapeace na rafiki yake cacutee 😄Umempagawisha raraa reree vijana damu zimechamka wanataka wamwage moto
Kichwa kidogo kimekuwa na ujasiri wa ajabu wa kukiongoza kichwa kikubwaUmempagawisha raraa reree vijana damu zimechamka wanataka wamwage moto
😅😅😅ni introvert flani hivi lkn nimemchangamsha, mnapenda sana k wanaume ndo udhaifu wenu nambari uno,Mumeo anainjoi sana aisee, mimi nashangaa sana wanawake wanaotunyima K sasa wamepewa ya nini itenge hapo isuguliwe ule mema ya nchi
Kwenye ndoa kuna mambo mengi kuna kufilisika kupoteza uwezo wa tendo na nk ,ukichagua mwanamke kwa vigezo vya njee tu inakula.ukimaanisha nini mkuu
Sawasawa hamfumaniwi ila mnakutwaKwanza mwanamke anapata wapi mamlaka ya kufumania?
Tukikuchangia lazima unene kwa lugha
😅😅naona wwnataka kuvunja keyboardUmempagawisha raraa reree vijana damu zimechamka wanataka wamwage moto