Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

We shauri yako
Mwenzako amejikuta kwenye kituo change daladala hajui anaenda wwpii.
We kaka najua kwa ulivyo lazima Jamii forum hukosi me ndo Yule nlokuwa nimebeba bag la mgongoni nimeshika na bahasha za chips paleee ma..... Ko...... E
Umempenda we nyooka tu usizunguke saana
 
Nimepata njia mpya ya kutongozea mjini
 
Mwl aliyenifundisha nimepata taarifa Jana kawa kichaa baada ya kugundua watoto wote aliolea na kusomesha shule nzuri nzuri sio wake (alikuwa anajibana wanasoma medium)
Mbaya zaidi mke anazidi kung'aa na watoto wanaelekea chuo
 

Tatizo watu wavivu sana hawapendi kutoka jasho.

Ukichunguza sana wanaume wavivu mario wanapenda ndoa kuoa wadada mambo safi ama wenye kazi nzuri.

Wanawake pia wanawake wavivu wanapenda ndoa sana kuolewa na wanaume wenye maisha mazuri.

Wanaume wenye pesa ndoa wanaogopa

Na wanawake wenye pesa ndoa wanaogopa.

Ukiona mtu anapenda ndoa sana mchunguze maisha yake utaona ni mjanja mjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…