Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

Ugali ni Tanzania
Sima ni Zambia
Shima ni Zimbabwe
Fufu ni nchi za afrika magharibi
Bugali ni kwa wakongoman

Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo
Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya chungu, ambayo imeungwa na karanga .

Ugali wa mtama mwekundu huu huchanganywa na muhogo kidogo au udaga mweupe hapa mboga pendwa hua ni nyama choma na kichuri na hapa pembeni mboga ya majani
Ugali wa mtama mweupe uliowekewa ngano kidogo hapa hua napenda na samamki choma au samaki mbichi aliyeokwa na vitunguu maji vingi

Ugali wa muhogo huu UWE ni muhogo uliolowekwa au udaga unasagwa wenyewe Tu huu naupiga na rost ya nyama au rost maini , au mchemsho wa kuku au mchemsho wa Ng"ombe ,
Bila picha?
 
ugali unaliwa mpaka nigeria na ghana mjuba. Tena unaliwa kwa mboga za mlenda kama tanzania
Hilo nalijua ndio maana nimeandika Fufu
Mpaka huku wanauza madukani hiyo fufu

Malawi, Zimbabwe na Zambia wote wanakula Ugali
Ila Ethiopian na Somalia wana vyakula tofauti

Hata Waarabu Wetu hawajui fufu Bali wanakula mikate inayotengenezwa kwa ngano, wanaita Khobez au pitta bread

Aina zipo nyingi sana na mchanganyiko mwingi wa chakula tofauti na sisi
 
Nenda na urudi peke yako,
Umeona ugali tu,na kwanini si chakula
Nyoka na samaki jamii ya nyoka,majani,ndege nani alikuambia hivi ni vyakula na ugali si chakula?
Usiaminishwe ujinga,asiekula ugali kwa maamuzi yake ni hvyo hivyo kwa asiekula ng'ombe kwa imani ama maamuzi yake
Sawa bloangu,nimekosa mimi
 
Ugali ni Tanzania
Sima ni Zambia
Shima ni Zimbabwe
Fufu ni nchi za afrika magharibi
Bugali ni kwa wakongoman

Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo
Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya chungu, ambayo imeungwa na karanga .

Ugali wa mtama mwekundu huu huchanganywa na muhogo kidogo au udaga mweupe hapa mboga pendwa hua ni nyama choma na kichuri na hapa pembeni mboga ya majani
Ugali wa mtama mweupe uliowekewa ngano kidogo hapa hua napenda na samamki choma au samaki mbichi aliyeokwa na vitunguu maji vingi

Ugali wa muhogo huu UWE ni muhogo uliolowekwa au udaga unasagwa wenyewe Tu huu naupiga na rost ya nyama au rost maini , au mchemsho wa kuku au mchemsho wa Ng"ombe ,
Malawi-Sima
 
IMG_1362.jpeg
 
Back
Top Bottom