Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Huelewi kuhusu ugali...hujui kama ndizi pia inatoa UGALI?Ndio bloangu,inadumaza sana akili,jitahidi sana wanao kuwaepusha.
Mi nina madogo 2 mmoja anapenda sana ndizi mmoja ugali,akili zao ni mbingu na ardhi.
Heeeeh!Huelewi kuhusu ugali...hujui kama ndizi pia inatoa UGALI?
Kinachotengeneza ugali kinaweza tengeneza mtori pia...NA Kinyume chake ni hivyo pia! NI MAJINA TU...kwani UGALI NI NINI?Heeeeh!
Ndizi zinatengeneza mtori bloangu kwa wachaga na wapare, na kishumba kwa wapare huo ugali wa ndizi hiyo ni mpya kutoka kwako ndugu,ya leo kaliiiii
Acha kufuru lo
Hakuna kula ugali...Acha kufuru lo
Ndo umenikuza ujue!!😁Hakuna kula ugali...