Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Bila picha?Ugali ni Tanzania
Sima ni Zambia
Shima ni Zimbabwe
Fufu ni nchi za afrika magharibi
Bugali ni kwa wakongoman
Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo
Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya chungu, ambayo imeungwa na karanga .
Ugali wa mtama mwekundu huu huchanganywa na muhogo kidogo au udaga mweupe hapa mboga pendwa hua ni nyama choma na kichuri na hapa pembeni mboga ya majani
Ugali wa mtama mweupe uliowekewa ngano kidogo hapa hua napenda na samamki choma au samaki mbichi aliyeokwa na vitunguu maji vingi
Ugali wa muhogo huu UWE ni muhogo uliolowekwa au udaga unasagwa wenyewe Tu huu naupiga na rost ya nyama au rost maini , au mchemsho wa kuku au mchemsho wa Ng"ombe ,
kivipi sio ugali, mbona tunakula na kushiba?Ugali sio chakula nakazia
View attachment 3389433
Hongerenikivipi sio ugali, mbona tunakula na kushiba?
Tatizo wanadamu wabishi sana
ugali unaliwa mpaka nigeria na ghana mjuba. Tena unaliwa kwa mboga za mlenda kama tanzaniaZaidi ya Africa nchi gani wanakula Ugali au Fufu?
Tena sio Africa yote wanakula Ugali kuna wengine chakula chao kikuu ni Wali na wengine Mikate ya aina zote
Sasa we hizi akili zetu watu weusi unazionajeMbona tungekuwa wote tumelazwa kwa kuumwa udumavu.
NB: Ng'ombe hawajui kumega matonge.Wangetusumbua sana.
misosi mingine tunakula ila hatushibi kama ugali. Ugali unakaa vema tumboni kwa muda mrefuHongereni
Hakika, mambo yao waachie wenyewe...Tatizo wanadamu wabishi sana
Hilo nalijua ndio maana nimeandika Fufuugali unaliwa mpaka nigeria na ghana mjuba. Tena unaliwa kwa mboga za mlenda kama tanzania
Sawa bloangu,nimekosa mimiNenda na urudi peke yako,
Umeona ugali tu,na kwanini si chakula
Nyoka na samaki jamii ya nyoka,majani,ndege nani alikuambia hivi ni vyakula na ugali si chakula?
Usiaminishwe ujinga,asiekula ugali kwa maamuzi yake ni hvyo hivyo kwa asiekula ng'ombe kwa imani ama maamuzi yake
Ndio bloangu,inadumaza sana akili,jitahidi sana wanao kuwaepusha.SIO CHAKULA ni CHAKUTEMA?
Ni chakula cha mifugo bloangukama sio chakula ni nini?
Malawi-SimaUgali ni Tanzania