Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

Chakula cha Ugali unaotokana na nafaka za mahindi na jamii zake zote ni miongoni mwa vyakula duni katika ulimwengu wa lishe. Jamii nyingi zinazotumia ugali kama Chakula chao kikuu zina tatizo la udumavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…