Zirconium
Senior Member
- Feb 1, 2025
- 196
- 254
1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda
2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao.
3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi.
4. Waliofanikiwa Kiuchumi wana maisha mazuri lakini wako simple na huishi kulingana na vipato vyao.
5. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi kwenda na TRENDS, bali hutumia trends na watu wanye kutrend kutengeneza wao PESA!
6. Waliofanikiwa Kiuchumi hawana MARAFIKI WENGI, ili kuweza ku-control maisha yao vizuri.
7. Waliofanikiwa ni watu wenye kuhoji sana pindi uwapelekeapo mawazo ya kibishara , na hawana majibu ya Kona kona.
8. Waliofanikiwa wanawaza juu ya muendelezo wa project zake kwa kizazi chake na kukiandaa ili Miradi isije kufa.
9. Waliofanikiwa Kiuchumi, ni watoaji wazuri wa sadaka. Na hutoa kwa SIRI kubwa. It's either kwa Mungu aliye HAI au miungu mingine.
10. Waliofanikiwa Kiuchumi wana nguvu ya UONGOZI wenye USHAWISHI naturally kwa watu, hata wasipofahamika.
Je, wewe umejiona wapi?
1. UMEFANIKIWA
2. unatumika KUFANIKISHA watu wengine??
3. Unapambana kuonekana umefanikiwa na hali sio ili kutafuta HESHIMA?
JITAFAKARI THEN KUWA REAL NA MAISHA YAKO MWENYEWE ILI UWE NA AMANI