Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Everton ni Moja ya club zenye sera nzuri ya pesa na matumizi way back na Chelsea Abramovich ndie alijenga utaratibu mzuri wa uendeshajiNa mimi ndio maana nanikwambia ingawa industry ya football ina faida kubwa sana hata zaidi ya monetary na kuna shughuli nyingi za pembeni zinafaidika kutokana na hizo pesa ila wafanyakazi / wanaofanyia kazi hivyo vilabu, wachezaji wengi ambao sio top names wanachopata ni kidogo sana na cha kinyonyaji katika kila Mbappe mmoja kuna kina John Doe wa kutosha ambao maisha yao yanategemea hisani ya wadau.....
Sisemi kwamba kama nchi tusi-invest kwenye vitu kama hivi la hasha tufanye hivyo sababu faida yake ni kubwa zaidi ya pesa za moja kwa moja..., ndio maana hata timu kama Real Madrid na mapesa mengi inayoingia ni Halmashauri yao ndio mara kwa mara inawasaidia wasiende under.....; Unaweza ukawa na kiwanja tu ambacho kukimanage kwa mwezi ni milioni kadhaa sasa kama unaingia watu robo kwenye uwanja unaweza kuona hizo ni money down the drain... Angalia hio article na hapo siongelei timu za mitaani bali creme de la creme la football clubs
![]()
How football’s richest clubs fail to pay staff a real living wage
The wealth bonanza enjoyed by top flight football clubs does not trickle down to many of their employees.theconversation.com
Lazima uanze na kozi za awali za ukocha ndio kisha ufike hapoVideo analysts inakuaje
Kwa Dar ni karume ofisi za tffHapo kwenye referee wapi wanatoa mafunzo.
Msingi wa kozi zote hizo ni kozi za awali za ukocha..km grassroots coaching na zingine zinahusu field ...ila kuna courses za management hizi huwa zinanza na diplomaNi kama wachambuzi wao hufatilia mechi na kuangalia ubora wa team pinzani au udhaifu kabla wakati na baada ya mechi,hii husaidia team kuja na mpango mzuri wa mechi hiyo au mechi ijayo
Nadhani huwa unaona hasa mechi kubwa za Ulaya watu Wa ka ipad pembeni wakati mechi inaendelea ndio hao
Urefarii na ukocha unaratibiwa na vyama husika kwa kushirikiana na tff.Kwa Dar ni karume ofisi za tff
Yah nadhani kwa dar Chama Cha soka ubungo huwa wako active sana kwenye programme hizoUrefarii na ukocha unaratibiwa na vyama husika kwa kushirikiana na tff.
Mfn juzi zimeanza kozi za ukocha zilizoandaliwa na chama cha soka cha mkoa wa morogoro..hivyo kwa marefa
Point yangu ni kwamba kuwekeza kwenye michezo hata kama tusipopata hata sumni faida yake ni maradufu...., mambo ya afya..., nchi kama Brazil Timu yao ya Mpira na watu kama Pele wameweza kuitambulisha dunia nzima..., sasa hivi maisha magumu wana-siasa walaghai watu wanakwenda kwenye michezo kujiliwaza... kwahio mambo yanayoleta tija kwenye michezo ni makubwa..., lakini ndio hivyo kuna shule inapewa kibali haina hata kiwanja..., open space zinageuzwa kuwa sehemu za machinga.....Everton ni Moja ya club zenye sera nzuri ya pesa na matumizi way back na Chelsea Abramovich ndie alijenga utaratibu mzuri wa uendeshaji
Sasa si tuwekeze kwenye maarifa halafu hayo masuala ya kupigania haki za wafanyakazi tuachie vyama vyao
Ni kama hapa bado hatuwekeza kwa wachezaji wa ndani kuinua viwango vyao na hapohapo tunataka waanze kulipwa mishahara Mikubwa inakuwa sio poa
Karume zilizopo ofisi za tff pameshageuzwa soko utulivu WA kufundisha watoto Mpira hakuna tena ni vurugu mechi Tu hii nchiPoint yangu ni kwamba kuwekeza kwenye michezo hata kama tusipopata hata sumni faida yake ni maradufu...., mambo ya afya..., nchi kama Brazil Timu yao ya Mpira na watu kama Pele wameweza kuitambulisha dunia nzima..., sasa hivi maisha magumu wana-siasa walaghai watu wanakwenda kwenye michezo kujiliwaza... kwahio mambo yanayoleta tija kwenye michezo ni makubwa..., lakini ndio hivyo kuna shule inapewa kibali haina hata kiwanja..., open space zinageuzwa kuwa sehemu za machinga.....
Kwahio hata mtu akitaka kuingia kwenye hizi sekta za michezo anaweza akawa na skills nyingine ambazo anaweza kufanya kazi popote hata kwenye mpira sababu unaweza ukawa nurse au MD na Dietitian vilevile Mario Sarri alikuwa Banker ila kwa upenzi wake wa mpira alikuwa anafundisha mpira part time.....
Sarri did not play football professionally, taking part as an amateur centre back and coach while working as a banker. In 2005, he had his first Serie B job at Pescara.[4] In 2014, Sarri won promotion to Serie A with Empoli, and after preserving their place in the top flight he was hired by Napoli. He won several individual awards while managing the Naples-based club; after finishing as league runners-up in 2017–18, Sarri moved to English club Chelsea, where he won the UEFA Europa League in his only season with the club. He returned to Italy to coach Juventus in 2019, with whom he went on to win the Serie A title in his first season, becoming the oldest manager to ever win the Serie
Watu hawajui kwamba kuna nguzo tatu katika maendeleo; Environmental, Social na Economical...Karume zilizopo ofisi za tff pameshageuzwa soko utulivu WA kufundisha watoto Mpira hakuna tena ni vurugu mechi Tu hii nchi
Kwa dar Tu pekee yake zinatakiwa open space zaidi ya Mia mbili na sidhani kama hat 20 zimefika! Mikoani ndio kabiisa unazitafuta kwa tochiWatu hawajui kwamba kuna nguzo tatu katika maendeleo; Environmental, Social na Economical...
Hatuwezi tukaangalia tu kupata faranga bila sehemu za ku-enjoy hizo faranga.., na open spaces na viwanja vya michezo angalau kila wilaya ni muhimu sana..., matokeo ya kutokufanya hivyo tunaweza kulipia kwa gharama ya afya kwa wana-jamii kwa kutunza vitambi na short life span
Ajabu kuna mpaka shule eti haina hata uwanja.., yaani shule (tena primary) unatoka ghorofani unaingia mtaani - sasa hapo unajiuliza huyu dogo mwenye kipaji atakuza vipi kipaji chake ? Labda kwenye corridor za shule au kwa nadharia.....Kwa dar Tu pekee yake zinatakiwa open space zaidi ya Mia mbili na sidhani kama hat 20 zimefika! Mikoani ndio kabiisa unazitafuta kwa tochi
Ni kweli mkuuAjabu kuna mpaka shule eti haina hata uwanja.., yaani shule (tena primary) unatoka ghorofani unaingia mtaani - sasa hapo unajiuliza huyu dogo mwenye kipaji atakuza vipi kipaji chake ? Labda kwenye corridor za shule au kwa nadharia.....
Yaani hata ile mipango miji waliyoacha wakoloni tunazidi kuharibu na uharibifu huu utali-cost taifa kwa miaka mingi sana ijayo....
Watakwambia hizo hatua za kuzingatia "quality of life" bado hatujazifikia. Watakwambia bado tuko hatua ya kusurvive na kuongeza mlo kutoka mmoja hadi miwili. Ndiyo maana mambo mengi yanayoharibu ustawi na quality ya maisha ya kila siku ya Watanzania yanafumbiwa macho kwa sababu kuna watu ambao ukiingilia ukawazuia utaambiwa bado wanapigania kusurvive. Na ndiyo angle wanayotumia kujenga miundombinu ya hali ya chini kwa kisingizio kuwa wengine nao wana mahitaji.Watu hawajui kwamba kuna nguzo tatu katika maendeleo; Environmental, Social na Economical...
Hatuwezi tukaangalia tu kupata faranga bila sehemu za ku-enjoy hizo faranga.., na open spaces na viwanja vya michezo angalau kila wilaya ni muhimu sana..., matokeo ya kutokufanya hivyo tunaweza kulipia kwa gharama ya afya kwa wana-jamii kwa kutunza vitambi na short life span
Umeniwahi kwenye jambo moja muhimu ulilosema hapa. Nadhani kabla ya yote, ili tutoke hapa tulipo neno "michezo" libadilishwe au litafutwe neno la ziada kutofautisha michezo ya kujiliwaza na michezo ya kulipwa, kama zamani walivyokuwa wanasema mpira wa ridhaa na mpira wa kulipwa, ingawa sasa hivi mstari wa kutofautisha hivi viwili umekuwa mwembamba sana. Itawasaidia wale ambao bado wanapata wakati mgumu kuelewa faida pana za kiuchumi za "michezo"Dah hapa nakosa Cha kuandika labda kuhudhuria washa na tamasha mbalimbali na jogging clubs
Anyway ni kama tulivyosema mwanzo neno "michezo"kwa nchi yetu ni sawa na kusema "huna Cha kufanya umeamua kupoteza muda"
Kwa hiyo serikali inaona hiyo hela ni kheri iliwe kuliko kupelekwa kwenye michezo
Karume pamekuwaje? Sijafika pale siku nyingi. Machinga wameingia hadi pale uwanjani? Inawezekana TFF wako mbioni kuhamia Kigamboni mazimaUlishauri vizuri sana ila hakuna mtu wa kuchukua huo ushauri ujamaa ulisababisha tushindwe kuwa na mawazo ya kesho na investment for the future.
Kwa mapenzi ya soccer waliyo nayo vijana wa tz (passion)ikifanyika proper investment for 20 yrs hakuna mtu atasimama mbele yetu
Sema mi naona kukabidhi wazee wanaona aah kesho sio yetu basi wanafanya vitu vya hovyo.
NB:
Umeshawahi kufika karume ukaona uwanja wa mazoezi!?basi ndivyo admn ilivyo
Hapo si unaona alicheza kidogo na pia asingewezaPoint yangu ni kwamba kuwekeza kwenye michezo hata kama tusipopata hata sumni faida yake ni maradufu...., mambo ya afya..., nchi kama Brazil Timu yao ya Mpira na watu kama Pele wameweza kuitambulisha dunia nzima..., sasa hivi maisha magumu wana-siasa walaghai watu wanakwenda kwenye michezo kujiliwaza... kwahio mambo yanayoleta tija kwenye michezo ni makubwa..., lakini ndio hivyo kuna shule inapewa kibali haina hata kiwanja..., open space zinageuzwa kuwa sehemu za machinga.....
Kwahio hata mtu akitaka kuingia kwenye hizi sekta za michezo anaweza akawa na skills nyingine ambazo anaweza kufanya kazi popote hata kwenye mpira sababu unaweza ukawa nurse au MD na Dietitian vilevile Mario Sarri alikuwa Banker ila kwa upenzi wake wa mpira alikuwa anafundisha mpira part time.....
Sarri did not play football professionally, taking part as an amateur centre back and coach while working as a banker. In 2005, he had his first Serie B job at Pescara.[4] In 2014, Sarri won promotion to Serie A with Empoli, and after preserving their place in the top flight he was hired by Napoli. He won several individual awards while managing the Naples-based club; after finishing as league runners-up in 2017–18, Sarri moved to English club Chelsea, where he won the UEFA Europa League in his only season with the club. He returned to Italy to coach Juventus in 2019, with whom he went on to win the Serie A title in his first season, becoming the oldest manager to ever win the Serie
Uwanja umeharibika sana tena sanaKarume pamekuwaje? Sijafika pale siku nyingi. Machinga wameingia hadi pale uwanjani? Inawezekana TFF wako mbioni kuhamia Kigamboni mazima
Kuwa kocha sio mpaka ucheze mpira na point hapo ni kwamba sababu alikuwa na passion ukocha ulikuwa part time..., hata wewe hapo unaweza ukawa na kazi yako machinga au hata daktari ukitoka kazini au weekend unawafundisha madogo mtaani ukifanya vizuri watu watakuelewa...Hapo si unaona alicheza kidogo na pia asingeweza