X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,989
- 17,113
Kushney, ulikula...au kulwa kavuu ? Kapime uanze mapema ... Vidonge !!Nimemkuta nazo mtu usiku huu kazificha na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
Kushney, ulikula...au kulwa kavuu ? Kapime uanze mapema ... Vidonge !!Nimemkuta nazo mtu usiku huu kazificha na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
Tatzo watu mnakariri, mimi sijasema nimezikuta kwa dem wanguKushney, ulikula kulwa kavuu ? Kapime uanze mapema .
Oyaa sio poaHahahahah
Imeshapigwa sign hio hakuna ARV.
Ale matunda
Yote ya yote...hili limeniliza sana...Man Down !!!Tatzo watu mnakariri, mimi sijasema nimezikuta kwa dem wangu
Wala sijazikuta kwa dem wanguUnaweza kuwa unachekacheka hapa kumbe jamaa kazikuta kwa mtu ambae ni mpenzi wako.
Yani hata siamini ila siwezi mwambia chochote maana ni mtu mzima na anajua anachokifanya.Basi ndo ivyo na mkumbushe asali sana
It's over for who? Mimi namuonea tu huruma ndugu yangu.ITS OVER BROTHER.!!
Mpigie trump magoti
Hata mimi limeniumiza sana, namuonea hurumaYote ya yote...hili limeniliza sana...Man Down !!!
Mkuu mimi sijasema nimezikuta kwa dem au mwanamke, nilitaka kujua ni dawa za nini tu maana huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu.Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
Nilijua tu lazima wajinga wataacha kujibu swali langu na kusema ""one man down" 😂😂Yaani huku kuna wapumbavu wengi sana, mtu maeuliza dawa ni ya nini mnaanza kejeli, mbuzi nyie
Kweli ndio uwaite Mbuzi 🤣🤣🤣🤣Yaani huku kuna wapumbavu wengi sana, mtu maeuliza dawa ni ya nini mnaanza kejeli, mbuzi nyie
Don't feel sorry for him, ukipata ngoma kuna mawili, ukubali kufa hapo hapo au upambane na dawa.Duh, I feel sorry for him 😞
Haya mkuu umevikuta kwa nani?Nilijua tu lazima wajinga wataacha kujibu swali langu na kusema ""one man down" 😂😂
Lakini nimeamini kwamba hili zali linaweza kumpata yoyote, huyu mtu sijawahi kumdhania kabisaDon't feel sorry for him, ukipata ngoma kuna mawili, ukubali kufa hapo hapo au upambane na dawa.
Yeye amechagua kupambana mkuu ni chaguo jema.
Ndio basi tenaNimemkuta nazo mtu na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
Ndugu yanguHaya mkuu umevikuta kwa nani?
Thanks for the informationNdio basi tena
What is disoproxil fumarate used for?
Tenofovir disoproxil fumarate (DF) (Viread) is used along with other medications to treat HIV infection in adults and children 2 years of age and older weighing 22 pounds (10 kilograms) or more