Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,297
- 16,573
Relax kaka..It's over for who? Mimi namuonea tu huruma ndugu yangu.
Anza mazoezi mapema!
Relax kaka..It's over for who? Mimi namuonea tu huruma ndugu yangu.
Sawa nitaanzaRelax kaka..
Anza mazoezi mapema!
Hiyo inaonesha ni namna gani watu wamejiandaa kushangilia na kuchochea matatizo ya wenzaoDaah, Yani mtu ameuliza tu lakini stori ishageuzwa aisse watz.
Mbona wengine wanasema ni HIVBooster za kukuza nguruwe na mabloilaaa
Wanakupotosha,,ss wafugaji tunajua kazi yakeMbona wengine wanasema ni HIV
shida ya watu wanaona mtu akiwa na huo upungufu basi ishakuwa shida full kuwatenga lakini sivyo kabisaaaUnaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
AsanteTunatoa mkopo wa pesa kuanzia Tsh 1m Hadi 40m Kwa dhamana ya Kadi ya gari.gari unabaki nayo .na marejesho ni Kuamzia miezi 3 Hadi miezi 24(miaka 2) karibu
kabisaaa💪Mpaka umuonee huruma, wewe unaijua kesho yako ? Siyo kila aliyepata huu ugonjwa alipata kwa ngono hapana...alafu acha tabia ya kuchunguza chunguza vitu vya watu
Sasa mbona niliye mkuta nazo hana mifugo?Wanakupotosha,,ss wafugaji tunajua kazi yake
Kwa kampuni yetu tuna deal na magari tu Madam....Asante
Dhamana ni gari tu?
Kama nina nyumba je?, hio haiwekeki dhamana?
Unajuaje kama anafuga kimya kimya...Sasa mbona niliye mkuta nazo hana mifugo?
Hafugi kitu huyuUnajuaje kama anafuga kimya kimya...
Sawa, asante kwa kutumia muda wako kunijibu maswali yangu.Kwa kampuni yetu tuna deal na magari tu Madam....