adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Itakuwa anafanya Biashara basi..hizo Babu pig black anakuwa na paja kama tako la boko..Hafugi kitu huyu
Kuku ananona kama dada yetu Nicolee
Itakuwa anafanya Biashara basi..hizo Babu pig black anakuwa na paja kama tako la boko..Hafugi kitu huyu
Huo ushauri sio mzuri hata kidogoPata K-vant/ Nyagiii /safari moja baridiii kisha soma tenaa
Huaenda watakiwa/anatakiwa atumie na kimiminika kimojawapo apo juu
Ungemuuliza!Nimemkuta nazo mtu na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
Kwakuwa nimeshajua ni dawa za nini siwezi kumuuliza tenaUngemuuliza!
Sio poa nae huku amefungua uzi anasema dawa ni zako ila mnatumia pamoja!Kwakuwa nimeshajua ni dawa za nini siwezi kumuuliza tena
Ukipata Ngoma mpaka ianze kukutesa na kukua usipotumia dawa inachukua mda gan? KakaDon't feel sorry for him, ukipata ngoma kuna mawili, ukubali kufa hapo hapo au upambane na dawa.
Yeye amechagua kupambana mkuu ni chaguo jema.
Sasa kijana, kama ni jamaa yako wa karibu kwanini unakagua kagua vitu vyake? Na kwanini usiibuke na Vaseline uibuke na kopo la dawa? Na kwanini utake kujua matumizi yake?Mkuu mimi sijasema nimezikuta kwa dem au mwanamke, nilitaka kujua ni dawa za nini tu maana huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu.
Vipi kama ni mtu ambaye naishi naye ni ni mtu wa karibu kabisa? Huoni kwamba sasa nimejua na ni afadhali nijue maana tupo karibu sana?Sasa kijana, kama ni jamaa yako wa karibu kwanini unakagua kagua vitu vyake? Na kwanini usiibuke na Vaseline uibuke na kopo la dawa? Na kwanini utake kujua matumizi yake?
Ukiingia ndani kwa mtu usiguse kitu cha mtu mpaka akukabidhi/akuruhusu yeye.
Upo sahihi mkuu. Lakini kama ni mtu wako wa karibu njia iliyo nzuri ni kukaa naye na kumuuliza yeye mwenyewe. Haya sasa umepata jibu, unarudi kwake kumwambia nini?Vipi kama ni mtu ambaye naishi naye ni ni mtu wa karibu kabisa? Huoni kwamba sasa nimejua na ni afadhali nijue maana tupo karibu sana?
Mkuu, Kwamba umeenda kwa rafiki/ndugu yako wa kiume na wewe ni mwanaume ukakuta dawa ukapiga picha ili uulize mtandaoni ni dawa gani? Hiyo curiosity imetokana na nini? Unataka kumtibu?Mkuu mimi sijasema nimezikuta kwa dem au mwanamke, nilitaka kujua ni dawa za nini tu maana huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu.
Mimi simwambii chochote na siwezi muuliza kabisa kwani naamini hata yeye hataki au hakutaka nijueUpo sahihi mkuu. Lakini kama ni mtu wako wa karibu njia iliyo nzuri ni kukaa naye na kumuuliza yeye mwenyewe. Haya sasa umepata jibu, unarudi kwake kumwambia nini?
Wapi nimesema nimeenda kwa mtu? Mimi nimeona tu zimefichwa nikataka kujua maana isije ikawa ni dawa za kulevya au dawa ambazo sio salama ndyomaana nikaulizaMkuu, Kwamba umeenda kwa rafiki/ndugu yako wa kiume na wewe ni mwanaume ukakuta dawa ukapiga picha ili uulize mtandaoni ni dawa gani? Hiyo curiosity imetokana na nini? Unataka kumtibu?
🤝🤝🤝Mimi simwambii chochote na siwezi muuliza kabisa kwani naamini hata yeye hataki au hakutaka nijue
Sasa kama alizificha ulikuwa unapekua nini kwenye vitu vyake boss? Si ni mtu mzima huyo? Au ni mwanao?Wapi nimesema nimeenda kwa mtu? Mimi nimeona tu zimefichwa nikataka kujua maana isije ikawa ni dawa za kulevya au dawa ambazo sio salama ndyomaana nikauliza
kumbe watu mnafahamu hadi vifo vyenu na hamsemiNitakufa lakini sio kwa ukimwi
Wewe utaishi milele?kumbe watu mnafahamu hadi vifo vyenu na hamsemi
Mkuu itoshe kusema tu ni mtu wangu wa karibuSasa kama alizificha ulikuwa unapekua nini kwenye vitu vyake boss? Si ni mtu mzima huyo? Au ni mwanao?
ARVsNimemkuta nazo mtu na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
UmepimaUnaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
Sawa, sio kwamba nakushambulia ila nakukumbusha tu kuwa kutoheshimu privacy ya mtu kutakupa utumwa maana itakupelekea kuwa mnafiki kwenye baadhi ya mambo mkizungumza since unajua jambo ambalo yeye alilificha kwako ila umelipekua ukalijua na sasa inakubidi ujifanye hujui.Mkuu itoshe kusema tu ni mtu wangu wa karibu