Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

Sawa, sio kwamba nakushambulia ila nakukumbusha tu kuwa kutoheshimu privacy ya mtu kutakupa utumwa maana itakupelekea kuwa mnafiki kwenye baadhi ya mambo mkizungumza since unajua jambo ambalo yeye alilificha kwako ila umelipekua ukalijua na sasa inakubidi ujifanye hujui.
Afadhali nimejua kwani ni muhimu kujua hasa kwa mtu niliye karibu, hata yeye alipaswa kuniambia ila akaficha.
NB: Na unaweza kuta wala si zake, kuna scenario tu imesababisha akawa nazo.
Yawezekana labda sio vyake, ila mimi nilitaka kujua tu ni vidonge gani hivyo kwa nia ya kiusalama zaidi.
 
Afadhali nimejua kwani ni muhimu kujua hasa kwa mtu mliye karibu, hata yeye alipaswa kuniambia ila akaficha.

Yawezekana labda sio vyake, ila mimi nilitaka kujua tu ni vidonge gani hivyo kwa nia ya kiusalama zaidi.
Mkuu, we kubali tu kuwa curiosity imekupa kiherehere, ni ubinadamu huwa inatokea.

Unless ni mtoto mdogo ndo hoja ya usalama wake itakuwa sahihi ila kama ni mtu mzima hakuna ukaribu usio na mipaka ni vile tu curiosity imekupa kiherehere.
 
Mkuu hakuna unachojua katika hili bali una guess tu kwamba ni mtu mzima au mtoto, mimi afadhali nimejua kwa sababu ninazo zijua binafsi.

Itoshe kusema kwamba pia hakuna unachojua zaidi ya kiherehere tu cha kutaka kujua kwamba nina privacy na huyo mtu ama sina.
 
Nimemkuta nazo mtu na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?

View attachment 3297123
Hii Kaka ni dawa yenye kombinesheni ya dawa 3 yaani TDF+3TC+DTG Wengine huita TLD ama ARV lakini uwepo wa mchanganyiko wa dawa zote hizo basi huweza kutibu Hepatitis B na pia Hutumika kuzuia maambukizi ya HIV ndan ya 72 hrs baada ya kutokea tukio lolote linaloweza kukuambukiza UKIMWI. Cha mwisho kabisa hii ndio dawa maarufu kwenye first line za TLD kutumika kufubuza Maambukizi ya ukimwi. So kabla hujaamua lolote akilini mwako soma na muulize mtu wako 🙏🙏
 
20250402_111320.jpg
 
Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
Mmh miezi tisaa?? Watu wa afya hapa kuna ukweli wowote?
 
Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
Alikuwa anatumia Arvs?
Kama alikuwa anabwia ARV, kunaepusha maambukizi mapya, ndiyo maana upo gado.
 
Mkuu hakuna unachojua katika hili bali una guess tu kwamba ni mtu mzima au mtoto, mimi afadhali nimejua kwa sababu ninazo zijua binafsi.

Itoshe kusema kwamba pia hakuna unachojua zaidi ya kiherehere tu cha kutaka kujua kwamba nina privacy na huyo mtu ama sina.
Hahaha, ok boss, Kama ndivyo mnavyoishi na mtu wako wa karibu kwa kupekuana pekuana kwa sababu za kiusalama ni kweli nina kiherehere otherwise wewe ndo mwenye tatizo la kutoheshimu privacy ya mtu wako wa karibu maana ulisema mwenyewe alizificha meaning ni suala lake binafsi si lako la kupekua.
 
Back
Top Bottom