sio kuishi milele, sijui hata ntakufa vipi ila mwenzetu unafahamu kabisa huta kufa kwa hiki nimeshangaa kidogoWewe utaishi milele?
Inategemea na mwili wa mtu, mwaka, miaka miwili wengine mpaka miaka 5 au 10 kabisa,Ukipata Ngoma mpaka ianze kukutesa na kukua usipotumia dawa inachukua mda gan? Kaka
Wapo pia wengine ambao wao hawaathiriki afya zao bali ni wasambazaji. Hao ndo hatari zaidi.Inategemea na mwili wa mtu, mwaka, miaka miwili wengine mpaka miaka 5 au 10 kabisa,
Dr. Kisanga anasema hivi: "ARVs zimegawanyika katika makundi kadhaa kutokana na jinsi zinavyofanya kazi na hii ni kulingana na hatua mbalimbali katika mzunguko wa maisha wa kirusi cha Ukimwi (HIV life-cycle). Ndiyo kusema kuwa, dawa hizi zimetengenezwa kwa kuzingatia uwezo wake katika kushambulia hatua mbalimbali za maisha ya VVU tangu vinapoingia katika mzunguko wa damu wa muathirika".Hivi hizo dawa za ARVs ziko na utofauti? Maana kuna makopo makubwa na madogo, afu rangi tofauti, maji ya bahari, nyeupe, na pink.
Sijawahi elewa.
Ahsante kwa ufafanuzi huu.Dr. Kisanga anasema hivi: "ARVs zimegawanyika katika makundi kadhaa kutokana na jinsi zinavyofanya kazi na hii ni kulingana na hatua mbalimbali katika mzunguko wa maisha wa kirusi cha Ukimwi (HIV life-cycle). Ndiyo kusema kuwa, dawa hizi zimetengenezwa kwa kuzingatia uwezo wake katika kushambulia hatua mbalimbali za maisha ya VVU tangu vinapoingia katika mzunguko wa damu wa muathirika".
Fuatilia au Tembelea TanzMed
Yanakurupuka tu yani mtu unauliza jitu mara one man down sisi watanzania kwakweli.Mkuu ungeuliza Kwanza nimezikuta kwa nani
🙏 🙏Ahsante kwa ufafanuzi huu.
Nilijua tu lazima yakurupuke maana akili zao zimeishia hapoYanakurupuka tu yani mtu unauliza jitu mara one man down sisi watanzania kwakweli.
Yeah. Inakuwa ni kama kushangilia au kuzomea. Inaitwa Kumnyanyapaa mtu. (Stigmatization) -haifai na haikubaliki. Wanasahau kwamba sisi wote ni wagonjwa watarajiwa.Nilijua tu lazima yakurupuke maana akili zao zimeishia hapo
Afadhali washangilie kama kweli mimi ndiye muhanga, lakini wameingia chakaYeah. Inakuwa ni kama kushangilia au kuzomea. Inaitwa Kumnyanyapaa mtu. (Stigmatization) -haifai na haikubaliki. Wanasahau kwamba sisi wote ni wagonjwa watarajiwa.
Mwingine huyuParapanda