Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Kwa hizo kona zote nchini tusisahau kumwomba Mungu awe ndiye Dereva wetu kila siku. Hata kwenye tambarare tuwe waangalifu na kumwachia Mungu azidi kutuongoza daima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwelii, fuso ndio zimejaa, na mkikutana lazima mmoja arudi nyuma kutafuta gap ampishe mwenzake, au asimame mwenzake apite taratibu, kwa ufupi hakuna mazingira ya kupishana bila namna hizo mbili.Sababu ile ni njia ya pembezoni hivyo magari ni machache tofauti na Kitonga ambayo nikm geti la kuingilia nyanda za juu kusini na nchi jirani
Unaweza toka Mombo hadi Lishoto usipishana na lori
Kwa hizo kona zote nchini tusisahau kumwomba Mungu awe ndiye Dereva wetu kila siku. Hata kwenye tambarare tuwe waangalifu na kumwachia Mungu azidi kutuongoza daima
Nasikia hilo jina ni mzee aliishia makorongoni na gari lake katika hizo kona na kona moja ikapewa jina lake kumkumbuka.Katikati ya mlima kuna sehemu panaitwa mwadangala ,hapo kuna kona kama sita hivi zipo karibu karibu na bonge la bonde kushoto na kulia kwako ,mlima una nyuzi 75. Gari likiachia huko chini watu hawakufati chini wanafanya ibada juu kama kwenye meli ya titanic
Kona za mkoa mbeya ni namba moja aisee
DaahhWatu wengi wanaoenda Mbulu hua wanapitia Karatu ambapo njia hiyo japo ni rough road ila haina shida. Barabara tunayoizungumzia hapa ni shortcut kutoka Mbulu, kupitia Magara kuja kutokezea sehemu inaitwa Mbuyu wa Mjerumani ambapo unakutana na main road ya kutoka Arusha kwenda Babati. Hii barabara niseme kwa Tanzania, Afrika mashariki na nchi za SADEC jumlisha na maziwa makuu kusini mwa jangwa la Sahara ndio inaheshimika kwa kona kali sana kupita maelezo!!! Mbaya zaidi barabara inapita juu ya mlima ambapo PANDE ZOTE ZA BARABARA NI MAPOROMOKO MAKALI!! Kama unaendesha gari, yaani hata ukiwa spidi 10 bado utajiona uko spidi kali sana, na hakuna kabisa uwezekano wa magari mawili kupishana..!!!! Hii ndio barabara pekee ambayo madereva hua wanapaki magari katikati ya barabara ili wapumzike na kufuta jasho kwenye mikono, miguu hadi kwenye meno.
View attachment 1764818
View attachment 1764819
View attachment 1764820
View attachment 1764822
Zinafanana na kona za barabara za kutoka Sumbawanga au njia kuu ya Sumbawanga Tunduma kuingia bonde la Ziwa Rukwa.Watu wengi wanaoenda Mbulu hua wanapitia Karatu ambapo njia hiyo japo ni rough road ila haina shida. Barabara tunayoizungumzia hapa ni shortcut kutoka Mbulu, kupitia Magara kuja kutokezea sehemu inaitwa Mbuyu wa Mjerumani ambapo unakutana na main road ya kutoka Arusha kwenda Babati. Hii barabara niseme kwa Tanzania, Afrika mashariki na nchi za SADEC jumlisha na maziwa makuu kusini mwa jangwa la Sahara ndio inaheshimika kwa kona kali sana kupita maelezo!!! Mbaya zaidi barabara inapita juu ya mlima ambapo PANDE ZOTE ZA BARABARA NI MAPOROMOKO MAKALI!! Kama unaendesha gari, yaani hata ukiwa spidi 10 bado utajiona uko spidi kali sana, na hakuna kabisa uwezekano wa magari mawili kupishana..!!!! Hii ndio barabara pekee ambayo madereva hua wanapaki magari katikati ya barabara ili wapumzike na kufuta jasho kwenye mikono, miguu hadi kwenye meno.
View attachment 1764818
View attachment 1764819
View attachment 1764820
View attachment 1764822
Hiyo njia nilipita kipindi ni vumbi , mbona nilijuta na kuapa yaani uko juu ya mlima unaona mataa mjini ila sasa kuja kufika hapo ni majangaKawetere ni namba moja ni vile haipo busy sana wewe ile kona ni kiboko pale juu mile tano...
Ni kona kali na nyingi ila hazitishi kama za mlima kawetele barabara ya Chunyahizi ni noma sana mkuu...pengine nyanda za juu kusini kunaongoza kwa kona kali na milima
Kuelekea Mtowisa usipopita Maji Moto kuna mlima mkali sana na korongo panaitwa KABURI WAZI. Nimepita Kitonga,Nyang'olo hadi huko Chunya ila hiyo down ya Kaburi Wazi hakuna mfano sema sio maarufu kwa kuwa sio main.Zinafanana na kona za barabara za kutoka Sumbawanga au njia kuu ya Sumbawanga Tunduma kuingia bonde la Ziwa Rukwa.
Kuna barabara 3 za kuingia bondeni zote zina kona kali kama hizo
Nilkuwa nazsaka hz za kgoma,naona umezkumbukaNyang'oro kiboko na kitonga,nyingine kigoma ukimaliza kidahwe japo sio nyingi.
Yes hii kona ya kuelekea akhera, nshsmfumania mimewanguz, tena kwenye gari yangu akikata kona sass hivi ni marehemucorner bar,sinza!!
Sekenke ya sasa hivi hamna kitu pale, wala haistahili kutajwa kwenye huu uzi.Nasikiaga Kuna sekenge sijui singida....Ila sijafika. Ila uzi huu bila picha ni Sawa na MAKINIKIA.
Hata ile ya Tunduru kwenda Namtumbo ina kona sana. Yaani kona masaaHakuna barabara yenye kona nyingi za kuudhi kama barabara itokayo Chimala Mbeya kuelekea Matamba na Uwanji Makete.
Kuna kona 54 ukipitia ile barabara ya hifadhi ya msitu wa TFS.
Kuna barabara ni hatari Ila hazujulikani saana..Habari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini
Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano.
Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya milima, nataja chache nyingine ongeza
1. Kona za Iyovu - ukitoka tu mikumi kuelekea iringa utaziona Kona hizi, ni Tamu Sana
2. Kona za kitonga - hizi zinapatikana kutoka Moro kwenda iringa.
3. Kona za Kolo- hizi zinapatikana kutoka kondoa kuelekea babati
4.kona za Nyang'olo - hizi zinapatikana unapokaribia kufika iringa kutokea dodoma
5. Kona za Lukumbulu songea huko
6. Kona za msambiazi, korogwe kuelekea mombo
7. Kona za Mombo kuelekea Soni - Lushoto
8.Kona za Mbeya kwenda Chunya
9. Kona za Ugara - Babati kwenda Mbulu - hapa kitonga chamtoto Cha ngedele
Ni Kona hatari lakini Tamu Sana, na mabasi huwa wanalala na Kona hizi kwa speed ya 120 yaani shaa.
Ongeza Kona Kali nyingine
Ile naipata ila haitishi kivile. Unaweza kudrive huku umefumba machoHata ile ya Tunduru kwenda Namtumbo ina kona sana. Yaani kona masaa