Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

Kuishi huko nipate na kibarua cha kufanya
Nchi kama Burundi labda wewe ndio ukaanze kwenda kuwekeza, maana maisha ya burundi ni chini sana uwezi kupata kibarua cha maana...

Kama unataka uende hili upate kibarua labda uanze na Kenya hili upate connection na uzoefu kwanza, Kenya pale ni rahisi kwa sababu maisha yao hayapishani sana na ya kwetu... Ukiishi hapo Kenya na kupata uzoefu wa mambo ya nchi za ugenini ndio unafanya utaratibu wa kuvuka border kwenda zako Marekani au ulaya huko ukatulie...


Kenya ni Nauli yako tu, as long as una passport au kama hauna utapewa permit ya siku kadhaa kuingia... Lakini ni vizuri uwe na passport hili iwe rahisi mambo yako kwenda sawa au ukipata dharura, unakimbilia ubalozini
 
Asante, nafanyia kazi ushauri wako
 
Nenden Dubai kuna fursa za kutosha
Dubai maisha ni expensive, uwezi kuzamia tu huna issue ya maana.

Alafu Dubai hakuna VISA ya bure kutoka Tanzania, kule unalipia muda wa kukaa
 
hapo sawa ila bado haujakutana na wabongo wa uhamiaji,,, wewe hujui gari kutoka ughaibuni ni bei chee kinoma ila ikifika bandarini kuitoa ni bei ya kuagiza gari nyingine kama hiyo.

Wabongo nuksi hatupendani hata kidogo.
Jifunze sheria ya customs valuation
 
Ila la Serikali kuzuia vijana kwenda nje kutafuta maisha hasa uarabuni halina afya kwa vijana
Yaan uende ughaibuni urudi na mawazo mbadala uanze kusumbua wanasiasa?

Safari utakazo ambulia kwenda ughaibuni ni kupitia msafara wa raisi
 
Kwa sababu ya mazoea mabaya. Hata kama mtu hataki kwenda kuishi ughaibuni, akatembee basi alau kwa siku mbili tatu ajionee dunia ilivyo.
 
UKO NCHI GANI WEWE KTK HIZO MKUU SIO AWATAKI ISSUE MCHONGO/CHANNEL/COON KUNA WALIOFIA SOUTH KISA HAKUNA VISA NDUGU WAMEZIKA MAJANI TZ....
 
Naifikiria Singapore lakini ni kweli unaweza kusafiri bila visa(visa on arrival)?bila shida yoyote?kama Kuna mdau anauzoefu na safari ya Singapore tafadhali pitia hapa unipe Muongozo.
 
Naifikiria Singapore lakini ni kweli unaweza kusafiri bila visa(visa on arrival)?bila shida yoyote?kama Kuna mdau anauzoefu na safari ya Singapore tafadhali pitia hapa unipe Muongozo.
Yes unaingia tuu
 
Naifikiria Singapore lakini ni kweli unaweza kusafiri bila visa(visa on arrival)?bila shida yoyote?kama Kuna mdau anauzoefu na safari ya Singapore tafadhali pitia hapa unipe Muongozo.
Inabidi ufahamu ili uweze kupata hiyo visa on arrival, ni vitu gani vinahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…