Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kuishi huko nipate na kibarua cha kufanyaUnataka kwenda kuishi moja kwa moja au kufanya nini... Tuanzie hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuishi huko nipate na kibarua cha kufanyaUnataka kwenda kuishi moja kwa moja au kufanya nini... Tuanzie hapa
Nchi kama Burundi labda wewe ndio ukaanze kwenda kuwekeza, maana maisha ya burundi ni chini sana uwezi kupata kibarua cha maana...Kuishi huko nipate na kibarua cha kufanya
Asante, nafanyia kazi ushauri wakoNchi kama Burundi labda wewe ndio ukaanze kwenda kuwekeza, maana maisha ya burundi ni chini sana uwezi kupata kibarua cha maana...
Kama unataka uende hili upate kibarua labda uanze na Kenya hili upate connection na uzoefu kwanza, Kenya pale ni rahisi kwa sababu maisha yao hayapishani sana na ya kwetu... Ukiishi hapo Kenya na kupata uzoefu wa mambo ya nchi za ugenini ndio unafanya utaratibu wa kuvuka border kwenda zako Marekani au ulaya huko ukatulie...
Kenya ni Nauli yako tu, as long as una passport au kama hauna utapewa permit ya siku kadhaa kuingia... Lakini ni vizuri uwe na passport hili iwe rahisi mambo yako kwenda sawa au ukipata dharura, unakimbilia ubalozini
Singpore kuna fursa gani?Fursa naona Singapore, hongkong wachina kibao
Jifunze sheria ya customs valuationhapo sawa ila bado haujakutana na wabongo wa uhamiaji,,, wewe hujui gari kutoka ughaibuni ni bei chee kinoma ila ikifika bandarini kuitoa ni bei ya kuagiza gari nyingine kama hiyo.
Wabongo nuksi hatupendani hata kidogo.
Adi somalia, na wanapiga helaExposure ndogo
Mtu hajui hata Bahamas na USA ni masaa mawili tu....
Wa Nigeria wapo kila nchi
Bado uko Dubai?Adi somalia, na wanapiga hela
Yaan uende ughaibuni urudi na mawazo mbadala uanze kusumbua wanasiasa?Ila la Serikali kuzuia vijana kwenda nje kutafuta maisha hasa uarabuni halina afya kwa vijana
Unawajua watu wanaitwa uhamiaji?
Hizi wachache Tena watu wa TISSYaan uende ughaibuni urudi na mawazo mbadala uanze kusumbua wanasiasa?
Safari utakazo ambulia kwenda ughaibuni ni kupitia msafara wa raisi
Nipo Abu DhabiBado uko Dubai?
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi.
Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania.
View: https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Japokuwa Nchi yetu inashika orodha ya idadi kubwa ya Raia ambao ni zaidi ya milion 60, na kwa Afrika mashariki ndio vinara wa idadi kubwa ya raia, ila hatuna watu wengi wanaotoka nje ya nchi.
Moja wapo ya sababu nchi yetu sio maarufu Duniani kote kama Wanaijeria, wasauzi na Wakenya, ni kuwà Nchi yetu Raia wake sio wengi ughaibuni.
Ukienda nchi za wenzetu Wabongo unaweza kuwatafuta kwa Tochi na usiwapate. Hizo hapo juu ni nchi ambazo huitaji kibali cha Visa kuingia kwao, Yani ni wewe na nauli yako na passport yako basi.
Sasa unakuta na Nchi ni ya Free VISA ila Wabongo bado huwakuti. Hii ni shida sana, na hizi fursa za free VISA watu kama Wanaijeria uwa hawazichezei kabisa.
Ndio maana naijeria ni nchi maarufu duniani kwa sababu Raia wake wametapakaa na kuitangaza nchi hivyo hivyo kwa wasauzi na Wakenya.

Yes unaingia tuuNaifikiria Singapore lakini ni kweli unaweza kusafiri bila visa(visa on arrival)?bila shida yoyote?kama Kuna mdau anauzoefu na safari ya Singapore tafadhali pitia hapa unipe Muongozo.
Inabidi ufahamu ili uweze kupata hiyo visa on arrival, ni vitu gani vinahitajikaNaifikiria Singapore lakini ni kweli unaweza kusafiri bila visa(visa on arrival)?bila shida yoyote?kama Kuna mdau anauzoefu na safari ya Singapore tafadhali pitia hapa unipe Muongozo.