Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

Mmmmmmhmn sasa huyo fundi mlikubaliana kujenga kitu gani hapo mahala mbona kama mlikuwa mnajenga daraja?!

Geti unaweka simple tu. Nguzo mbili basi. Sasa hiyo rinta juu ilikuwa ya kazi gani tena mwanetu.
 
Habari mkuu, nime jaribu kutafuta hiyo post uliyo elezea namna ya kupata makadirio ya gharama kweli sija iona, nime angalia profile post zako, sija fanikiwa kuona, unaweza ukaweka link yake hapa, kwa urahisi zaidi
 
Habari mkuu, nime jaribu kutafuta hiyo post uliyo elezea namna ya kupata makadirio ya gharama kweli sija iona, nime angalia profile post zako, sija fanikiwa kuona, unaweza ukaweka link yake hapa, kwa urahisi zaidi
Ni kwenye uzi huu boss. Nimesema kwa makisio (according to CRB) skwea mita moja inagharimu kati ya Tsh. 400,000-mpaka Tsh600,000 (inategemeana na ubora wa finishing).
So ramani yoyote ile ukiwekewa “BuiltUp Area” (Floor area) unazidisha kwa figure hiyo kupata makisio ya gharama zake za ujenzi.
 
Shukurani mkuu, Nime kupata sasa
 
Hii nyumba ya gharama nafuu kama ulivyo sema kwenye kichwa cha habari? Katika Afrika hii maisha ya watu yalivyo ndo unasema hii ni nyumba yenye nafuu?tofali 3390

Nyumba nafuu Kwa hapa Afrika hususani Tanzania ni nyumba yenye gharama chini ya Milion 20

Hii uliyoweka ni ya watu wa maisha ya kati na waliofanikiwa pia, lakini 80% ya wananchi wana nyumba za Milion 10- 20
 
Angalia kwanza “contents zake” boss, hapo kuna study room kama extra space, so ukiondoa study room (kama hauihitaji) utapungua.
Na naona Unaangalia tofali tu, vp kuhusu bati!?? Tofali zimekua nyingi coz hiyo ni hidden roof na hapo kwenye bati na mbao kwa hiyo itakua nafuu sana (ambayo huwa ni pasua kichwa)
Na hizo nyumba unasema inajengwa kwa 10-2mln ni mpaka hatua ipi??
 
Sijui kama unajua maana ya neno nyumba ya kuishi, kumbuka hata Banda la matulubai likifanyika makazi ya mtu ni nyumba, hizo za Milion 10-20 ni nyumba iliyomalizika na watu wanaishi, lakini maisha ya kiafrika nyumba ulizoweka hapa hata wafanyakazi wengi hawaziwezagi mpaka wameingia loan, ninazo na ninajua sana ujenzi wa nyumba nafuu na nyumba ya pesa ndefu Kwa waafrika

Isipokua mimi sikuja kukupinga maana ni kama unatangaza biashara ila nimekurekebisha tu maana nayajua maisha ya waTanzania na nyumba wanazo ziweza
 
Nimeuliza mpaka hatua ipi nikimaanisha imejengwa boma tu ikaezekwa na kuwekwa grill then watu wanahamia au ni mpaka finishing yote (gypsum, aluminium windows, umeme, maji, tiles n.k) maana finishing inakula pesa. Ukienda uswazi nyumba nyingi zimejengwa kwa hiyo 10-20mln na watu wanaishi lakini hazijafanyiwa full finishing.
So nasisitiza kwa herufi kubwa wewe KAMA UNAMIFANO LETE HAPA, mimi nimeleta hoja na nimeelezea vizuri, yes nafanya hiyo kazi lakini wala sihitaji huruma ya namna yoyote ile.
So mkuu feel free kabisa kuelezea hoja yako hata kama una mifano ya picha nk wewe lete tu
 
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiliaji majenzi) kwa anayeitaji uduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…