Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mmmmmmhmn sasa huyo fundi mlikubaliana kujenga kitu gani hapo mahala mbona kama mlikuwa mnajenga daraja?!Salaam
Naombeni msaada kuhusu hizo nguzo za geti.
Naambiwa na kijana wa zege kuwa wakati fundi anajenga hapo hizo nguzo kuwa hawakuchimba msingi mrefu kwenda chini na hana hakika kama waliweka kitako chini.
Bahati mbaya fundi alikimbia kabla ya kazi kukamilika na pia hapatikani kwa simu.
Sasa naombeni msaada wa kitaalamu hapo nifanye nini??
Je nivunje hizo nguzo zisukwe upya ama tufanyie ukarabati ili kuweza kuziimarisha hizo nguzo.
Mimi nipo mbali nashindwa kusimamia kwa ukaribu ujenzi.
Tafadhali naomba maoni yenu ya kitaalamuView attachment 2071159
Geti unaweka simple tu. Nguzo mbili basi. Sasa hiyo rinta juu ilikuwa ya kazi gani tena mwanetu.