Hizi ni sababu zangu kuu tano za kwa nini sitampigia kura Samia Suluhu Hassan kama atasimamishwa na chama chake

Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo.

1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui anajisikiaje kuachanisha familia za watu, kuwaacha watoto bila wazazi kwa kuteka na kupoteza watu. Ni kawaida kwa nchi sasa mtu kupotea na kupoteza maisha kabisa alaf polisi wakasema hawana taarifa naye. Ni kawaida mtu kurepotiwa kwamba ametekwa na polisi hawana taarifa baadaye utasikia alikua mikononi mwa polisi. Huu ni ukatili wa Samia

2. Kuongezeka kwa tozo. Katika kipindi chake tozo katika miamala ya simu imekua kero, mbaya zaidi hatuoni ni wapi fedha hzo zinaenda. Nachelea kusema kuna genge linatafuna fedha hizo.

3. Kubinafsisha bandari kama si kuuza kabisa ni jambo ambalo linakera sana. Kwa sababu pamoja na bandari kuchukuliwa na DP world bado hakuna ahueni yoyote. Kama ume import gari kipindi cha karibuni utakubaliana na mimi kwamba charges zimeongezeka sana.

4. Mfumuko wa bei wa bidhaa mbali mbali hasa zile bidhaa muhimu. Katika nchi hii bei ya sukari iko juu pengine kuliko nchi yoyote jirani inayotuzunguka. Ameshindwa ku conroll hilo. Ajabu na kweli ni pale ambapo bei ya mafuta nchini kwetu ukilinganisha na nchi jirani ambazo zina import mafuta kupitia bandari ya DSM ni ndogo kuliko sisi

5. Wizi serikali na nidhamu ya hovyo imezidi mara dufu. Report ya CAG kila ikitoka lazima ije na report za ufujaji wa fedha uliokithiri. Kwa miaka hii imekua kawaida sana na huoni hatua zikichukuliwa. Zile kauli za 'utanijua mimi ni nani' zimerudi kwa kasi, yani unaweza kudhulumiwa haki yako na hakuna kitu utafanya.

Sitampigia kura Samia 2025. Kama una ungana nami ongeza mengine. Na kama huungani nami prove me wrong.
Hakuna atakayempigia ukiacha chawa wachache wasiofika Milioni Moja.
 
Wewe hata huna sababu ya kutoa sababu mbili, kumi au mia MAANA HUYU MPAKA KUFIKIA MWAKANI HATAKUWEPO......!!

Fikiria mambo mengine...........

Maana NYAKATI na MAJIRA mapya kuashiria msimu mpya ktk mataifa haya mawili Tanganyika na Zanzibar unaingia. Hakutakuwa na kitu kinaitwa "CCM" tena ktk msimu unaokuja..........!!
 
Hayo mambo 5 uliyoweka yamefanywa na Mawaziri Watanganyika na Bunge lililosheheni Wabunge Watanganyika

Acheni kumsingizia Rais Samia 🐼
Kwani wapi amesema hatampigia kura kwasababu siyo Mtanganyika?
 
Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo.

1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui anajisikiaje kuachanisha familia za watu, kuwaacha watoto bila wazazi kwa kuteka na kupoteza watu. Ni kawaida kwa nchi sasa mtu kupotea na kupoteza maisha kabisa alaf polisi wakasema hawana taarifa naye. Ni kawaida mtu kurepotiwa kwamba ametekwa na polisi hawana taarifa baadaye utasikia alikua mikononi mwa polisi. Huu ni ukatili wa Samia

2. Kuongezeka kwa tozo. Katika kipindi chake tozo katika miamala ya simu imekua kero, mbaya zaidi hatuoni ni wapi fedha hzo zinaenda. Nachelea kusema kuna genge linatafuna fedha hizo.

3. Kubinafsisha bandari kama si kuuza kabisa ni jambo ambalo linakera sana. Kwa sababu pamoja na bandari kuchukuliwa na DP world bado hakuna ahueni yoyote. Kama ume import gari kipindi cha karibuni utakubaliana na mimi kwamba charges zimeongezeka sana.

4. Mfumuko wa bei wa bidhaa mbali mbali hasa zile bidhaa muhimu. Katika nchi hii bei ya sukari iko juu pengine kuliko nchi yoyote jirani inayotuzunguka. Ameshindwa ku conroll hilo. Ajabu na kweli ni pale ambapo bei ya mafuta nchini kwetu ukilinganisha na nchi jirani ambazo zina import mafuta kupitia bandari ya DSM ni ndogo kuliko sisi

5. Wizi serikali na nidhamu ya hovyo imezidi mara dufu. Report ya CAG kila ikitoka lazima ije na report za ufujaji wa fedha uliokithiri. Kwa miaka hii imekua kawaida sana na huoni hatua zikichukuliwa. Zile kauli za 'utanijua mimi ni nani' zimerudi kwa kasi, yani unaweza kudhulumiwa haki yako na hakuna kitu utafanya.

Sitampigia kura Samia 2025. Kama una ungana nami ongeza mengine. Na kama huungani nami prove me wrong.
20240823_124721.jpg
 
Kila jambo linaanzia kwenye level ya person,halafu familia halafu ndio jamii na taifa kwa ujumla,ndio maana nimewauliza wachambuzi vipi nyinyi wenyewe level ya mtu mmoja mmoja,familia zenu,huko mitaani mnaweza kujisimamia vile inatakiwa?kabla hamjatoa huo ushauri
ndio tunaweza jisimamia, japo serikali tunaihitaji ili itoe miongozo na sheria sahihi kwenye nchi na jusimamia masuala kadhaa ili itoe urahisi na unafuu kwenye maisha ya kila siku ya wananchi.

mfano, wewe ni mfanyabiashara wa kuuza bidhaa mf nyanya, mbogamboga nk, serikali mtategemea ijenge soko zuri , itoe sheria wauzaji wadogo wasivurugiwe biashara zao, wasilipe kodi au walipe kidogo nk, iwe inasimamia usafi nk hakuna anaetaka hela kwa serikali

vipi kama hawajengei miundombinu ya soko, inaleta ushuru na kodi kubwa, haitengezizi barabara nzuri sokoni ili watu wasihangaike na matope na mvua, iwe inawanyonya na haileti maendeleo yoyote, mtaifurahia?

i hope umeelewa

vipi kama
 
Hapana sijaelewa,Watanzania mnapenda sana kulaumu serikali hata mvua ikinyesha kupitiliza au ukame lawama kwa serikali,hebu nikurudishe hapo kwenye mfano wa kujengewa masoko mazuri,Tumeona kwenye awamu ya tano masoko mazuri yalijengwa nini kilitokea?wafanyabiashara hawataki hayo masoko mazuri wanataka kukaa kwenue masoko mshenzi...
Tumejengewa stendi nzuri nzuri,mfano Magu basi terminal ila angalia mji sasa umejaa stand kila kona kila kampuni inafungua terminal yake
Tukijengewa vyoo ya public mtu anaenda kuandika ukutani na kinyesi,Halafu utasikia watu wanalaumu serikali hii haijali wananchi
Hapa ndio maana nataka kujua je kujitambua wajibu wa mtu binafsi kumekaaje,unaparticipate vipi kwenye kukuza kipato chako maana wengi tunalaumu serikali kumbe wako busy na series za Korea na Uturuki,je una mchango gani kwenye jamii,na je umeisaidiaje hiyo serikali kama kijana?
Umeelewa?
 
Iko hivi joannah,serikali ndio inasimamia kila kitu cas ndio ina mamlaka kwenye nchi, tena ya kisheria.

Mfano hiyo mifano ulotolea hapo juu sjui stand sjui vyoo wanachafua wananchi nk, ni nani anaetakiwa kudeal nalo na either kusolve au kukamata wanaofanya hivo? sio serikali? Serikali ndio inatakiwa kuweka sheria za nchi. Kama kuna stand imejenga na watu wanafungua vituo vyao, nani anaetakiwa kuunda sheria yakupiga marufuku kujenga vituo holela na kuweka utaratibu maalum? si serikali? cas serikali ikiweka sheria ukaivunja inakufanyaje? si inavyombo vya mamlaka kudeal na wewe? police,TRA, sjui mamlaka za usafirishaji etc si za serikali?

hao wanochafua na kuandika vyooni wanadhibitiwaje? si serikali ndo yenye mamlaka ya kuondoa huo ujinga kwa kuunda sheria kali kama vile ukikamatwa jera miezi 6 au mwaka na kazi ngumu na kulipa faini ya kurekebisha alipoharibu uone i nani atajaribu, wataheshimu kwa kuogopa kufungwa, nani mwenye mamlaka ya kutunga hizo sheria? si serikali?

wezi wakiiba au wakiua nani anatakiwa kudeal nao? Serikali ndio wa kuunda sheria na kuzisimamia, chochote kikiharibika ni serikali, period.
 
Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu

Sitampigia kura Samia 2025. Kama una ungana nami ongeza mengine. Na kama huungani nami prove me wrong.
Hii ndio demokrasia, una uhuru wa kumpigia kura mtu yeyote anayempenda na uhuru wa kutompigia kura mtu yeyote usiyemkubali.
Decent politics ni wewe kuwashawishi watu wampigie mgombea unayempenda na sio kumsagia kunguni usiyempenda.
P
 
Akishika nchi ngwe inayofata sijui hali itakuwaje? Hapa sasa hivi yeye na ‘watu’ wake wanaona aibu kidogo kwa sababu ya 2025. Baada ya hapo cha moto tutakiona.
 
Hii ndio demokrasia, una uhuru wa kumpigia kura mtu yeyote anayempenda na uhuru wa kutompigia kura mtu yeyote usiyemkubali.
Decent politics ni wewe kuwashawishi watu wampigie mgombea unayempenda na sio kumsagia kunguni usiyempenda.
P
Ili umpigie kura unayempenda ni lazima uwe na sababu za kwa nini humpigii kura usiyempenda. Yuko madarakani, amekosea lazima ajuzwe kwamba amekoseq na makosa yake yatamgharimu 2025. Au wew unafurahi jinsi Masai wenye ardhi yao wanavyofurushwa kwenye ardhi yao ili apewe mwarabu?

Nina sababu nyingi za kutompigia kura pengine kuliko za ninayependa kumpigia
 
Back
Top Bottom