Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

.

  • .

    Votes: 1 100.0%
  • .

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .
Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
52
Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni.

Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza financial freedom.

Matokeo yake ni kawaida kuona vijana wengi tunateseka
ku-make ends meet na kupambana na matatizo ya kiuchumi
at 20’s.

Ndani ya Muda mfupi Utaenda Kugundua SIRI za Juu zaidi Kuhusu Fedha (7) ambazo ni lazima ujifunze Kabla ya umri Wa miaka 20 ambazo haufundishwi shuleni!

1. Put your money to work.

Hauwezi kutajirika kwa kuweka pesa zako kwenye saving account. Wastani wa saving account (A.P.Y) ni 0.24%, kiasi ambacho ni kichekesho sio?

Ni lazima utafute mbinu za kufanya pesa yako ikufanyie kazi. Ni lazima uwekeze kwenye asset ambazo zina appreciating kama biashara, real estate and stocks.

Kwa vijana wengi stock ni mahali ambapo wanaanzia safari yao ya uwekezaji sababu mitaji ya kuanzia hapa ni midogo kulinganisha na real estate au biashara nyingine.


2. Amount of money retained matters.

Haijalishi ni kiasi gani unatengeneza, ila ni kiasi gani unabakiwa nacho ni jambo la msingi. Kuna watu wapo kwenye biashara ambazo zina mzunguko wa 10m mpaka 50m. Ila baada ya kutoa hizo operating cost na kila kitu anakuja kubakiwa na kiasi kidogo Sana.

So ni muhimu kuzingatia kuwa net income ni muhimu kuliko gross income. Hauwezi kufanya jambo lolote na hela ambayo inaishia kulipia gharama za uendeshaji wa biashara yako na kulipa kodi. Mwishowe itaanza kukushawishi kuanza ujanja ujanja utakaoharibu reputation ya biashara yako.

3. Acquire asset.

Maamuzi yako ya kiuchumi unayofanya sasa hivi yana tafsiri kesho yako, Watu waliofanikiwa wanawekeza kwenye asset wakati masikini wanajilimbikizia liabilities.

Hio simu ya million 1 na nusu au million 2 ni kweli ni kitu ambacho kina maana kwako sasa hivi? Ambapo ungeweza kuweka hio pesa kwenye trading account ya mtaji wa $500 mpaka $1000 kisha ikakuingizia 9% to 15% ambayo ni kama laki 2 mpaka laki 4 kiła mwezi.

Hakuna mtu yeyote alieweza kutengeneza financial freedom kwa ku-acquire liabilities.

4. You are not born to work for others for lifetime.

Huu ni mfumo wa kisasa wa utumwa. Haujazaliwa ili tu uende shule, ufanye kazi, ulipie bills kisha ufe. Umezaliwa kwa kusudi muhimu zaidi ya hilo.

Uwezekano wa uwiano wa wewe kuwa binadamu ni 400 trilioni : 1. Huu uwiano unaonekana ni Ngumu kushinda, lakini here you are, umepewa zawadi hii ya Maisha.

Kwanini usitake kuwa na uhuru wa kiuchumi ili uweze kushuhudia vitu vyote vizuri katika maisha haya?

5. Winning means not being afraid to lose.

Kamwe usiogope kuchukua calculated risk, Wale wote ambao wanataka ku-play it safe, never make big fortunes.

Sasa hii haimaanishi uchukue mshahara wako wote, au uchukue mikopo isio na plan na kubet it all in.

Chukua kile ambacho unaweza ku-risk na akitumie kutengeneza additional income sources.

6. Dream big and be ready to work hard.

Ni lazima uweze kuwa tayari kutoa sadaka miaka michache ya kula bata, kwa jailli ya uhuru wako wa baadae. Hakuna kitu chochote chenye thamani kinachopatikana kirahisi.

Kufikia uhuru wa kiuchumi ni kitu ambacho sio chepesi kufanya, lakini matokeo yake yatafuta jasho la kazi ngumu uliyoifanya.

Hautaki kuamka asubuhi ukijua kwamba changamoto yoyote maisha yatakuletea unauwezo wa kiuchumi kupambana nayo?
Kumbuka pesa sio kila kitu lakini ina mchango mkubwa sana, na bila pesa wengi wetu tusingefika hapa tulipo leo.

Malengo yako ya kiuchumi yanatakiwa kuwa atleast kuishi vizuri, kuwa huru kutokana na matatizo ya kiuchumi na kuwa na uwezo wa ku-provide for your family. Vingine vyote baada ya haya ni ziada.

7. Gain Financial knowledge.

Jifunze kuhusu uwekezaji, biashara za mitandaoni, masoko ya hisa, masuala ya kodi na mauzo. Itakusaidia katika kufanya machaguzi mazuri ya maamuzi yako kiuchumi kwa ujumla.

Elimu ni ramani yako kuelekea uhuru wa kiuchumi.

Ps: By The way Kama unapenda Kujifunza Kuhusu Uwekezaji Wa Hisa Basi Gusa Link Kujipatia Ebook yako ya.....Uwekezaji Katika Soko la hisa
 
So wewe ulizijua hizi siri on that age!
And how is your life goes now.

Any way Wanajamii forum
Every one ana successfully plan na sio lazima zote zifanane.

So.msitushwe na hawa motivator speaker mkajiona hauko kwenye reli

Tunautofauti wa kila kituu duniani kotee
 
So wewe ulizijua hizi siri on that age!
And how is your life goes now.

Any way Wanajamii forum
Every one ana successfully plan na sio lazima zote zifanane.

So.msitushwe na hawa motivator speaker mkajiona hauko kwenye reli

Tunautofauti wa kila kituu duniani kotee
Sio lazima awe navyo yeye, kushare maarifa ni upendo.....✌️
 
So wewe ulizijua hizi siri on that age!
And how is your life goes now.

Any way Wanajamii forum
Every one ana successfully plan na sio lazima zote zifanane.

So.msitushwe na hawa motivator speaker mkajiona hauko kwenye reli

Tunautofauti wa kila kituu duniani kotee
Useless mind
 
Back
Top Bottom