Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Chadema mnamsakama sana Makamba jr!

Bado mnaendeleza ujinga wenu wa enzi ya Magufuli; pale mnapoambiwa ukweli mnakimbilia kusema mnaandamwa!! Kwanini hamjibu hoja kwa hoja kumtetea huyo Makamba kama anaonewa? Wanaoumia na utendaji hafifu wa January ni wananchi wa vyama vyote kwanini mnakimbilia kulaumuChadema wakati wanaoumia wamo wana ccm wanaolalamika pia?
 
Chadema mnafanya siasa za " reja reja" za kupambania watu badala ya maswala!
 
Sukuma Gang huyu.
BULESI

"Bado mnaendeleza ujinga wenu wa enzi ya Magufuli; pale mnapoambiwa ukweli mnakimbilia kusema mnaandamwa!! Kwanini hamjibu hoja kwa hoja kumtetea huyo Makamba kama anaonewa? Wanaoumia na utendaji hafifu wa January ni wananchi wa vyama vyote kwanini mnakimbilia kulaumuChadema wakati wanaoumia wamo wana ccm wanaolalamika pia?"

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya kufanya ya kupaza sauti iwe kwenye mitandao, barabarani, whatever huyu waziri atoke asee..

Kuna umuhimu wa kuanzisha campaign ya kutokuwa na imani na huyu Makamba.
 
Tupe uthibitisho! Kesi ilifunguliwa kituo gani na matokeo yalikuwaje?
 
Sasa huyu ameongea nini ya kumtia Makamba hatiani?
Si bora mpina alijenga hoja?

Ujinga huu ni wa kufungulia uzi?


Labda nae anafanya biashara ya mafuta…maana alichosema hakipishani sana na alichosema mbunge Shabiby…

Shabiby nae ni mdau kwenye mafuta kwamba kuna upigaji wakufa mtu uko kwenye uagizaji ambao ukidhibitiwa utapunguza makali kwa wananchi
 
Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..

Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!

View attachment 2183141
Ndo mana mnaambiwa nyie sukuma gang hamnaga akili na mmejaa ushamba, wivu , chuki na roho mbaya

Eti makamba mwizi! Embu tupe ushahidi Makamba kawai kuiba nini? Alishtakiwa wapi? Alihukumiwa na mahakama ipi?
 
Kuna haja ya kufanya ya kupaza sauti iwe kwenye mitandao, barabarani, whatever huyu waziri atoke asee..

Kuna umuhimu wa kuanzisha campaign ya kutokuwa na imani na huyu Makamba.
Nawaonea huruma sana sukuma gang!😂😂

Poleni Makamba ndo Waziri wa Nishati na hamna la kumfanya
 
Ndo mana mnaambiwa nyie sukuma gang hamnaga akili na mmejaa ushamba, wivu , chuki na roho mbaya

Eti makamba mwizi! Embu tupe ushahidi Makamba kawai kuiba nini? Alishtakiwa wapi? Alihukumiwa na mahakama ipi?

Kwani sisi ni masecretary wake…

Tunawasikiliza wadau wa wizara yake…alah!

Lisemwalo lipo…
 
Lolote linawezekana.
Na haya ni matokeo ya kurudisha watu walewale waliikuwa kwenye utawala wa JK. 'Mama' angetengeneza mfumo wake.
Au kwa vile bado hajawa rais, Tusubiri hadi baada ya uchaguzi wa 2025?
Tafuta juice ya ndimu tu unywe! Makamba ndo Waziri na hamna lolote la kumfanya na Samia ndo Rais hadi 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…