Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Acha maneno weka uthibitisho wa wizi wa January

Ndio wahuni mnaposhikilia bango hapo eti ushahidi…ndio maana tume zinaundwa kuchunguza shutuma bwaasheee…

Kwa sasa boss wako anashutumiwa…badala ya kujibu hoja anafukua makaburi😄
 
January ni kama alivyokuwa Makonda kwa JPM....

Kibaya ni akitumbuliwa hapa ndio kitakuwa kifo chake cha kisiasa..... na akiachwa pia anachafua mamlaka ya uteuzi...
Utamfananishaje mtu aliyekuwa akiwatisha wafanyabiashara na kuwapora Mali zao na January?

Yaani chuki za wapuuzi wachache sukuma gang ndo zichafue mamlaka? Unaona Uongozi wa JMT umelala sana eeh?

Nakupa kazi moja na usikimbie Kama wenzako

Nipe uthibitisho wa wizi wa January?
 
Acha maneno na kujibaraguza dogo! Weka uthibitisho na ushahidi hapa wa wizi wa January
Ndio wahuni mnaposhikilia bango hapo eti ushahidi…ndio maana tume zinaundwa kuchunguza shutuma bwaasheee…

Kwa sasa boss wako anashutumiwa…badala ya kujibu hoja anafukua makaburi😄
 
January Makamba si mtu mwepesi kichwani.....

Watakiwezea wapi KICHWA hichi kilichosoma chuo kikuu cha TAFITI(Research) pale GEORGE MASON UNIVERSITY?!!!!

#Siempre JMT🙏
 
Shabiby aliyesema tununue mafuta ya magendo?

Sikumsikia akitoa uthibitisho wowote wa wizi wa Makamba, au wewe ulimsikia uuweke hapa?

Sikusikia neno magendo kwenye ule mchango wake mkuu…hao waagizaji wako una uhakika gani na wanapo agizia…hawapendi hela?!
 
Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..

Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!

View attachment 2183141
Ana Hoja eneo fulani japo nae kwa namna nyingine kumhusu Waziri Makamba naona ni kama tu ana Chuki nae Binafsi kwani ndani ya Serikali ya CCM na hata huko Chamani Upigaji au Ufisadi kwa Makada wake ni Jambo la Kawaida na tayari ni Utamaduni uliozoeleka miongoni mwao.

Sehemu pekee ambayo nakubaliana nae bila Kumpinga na kumhusu Steve Nyerere na hilo Jina la Nyerere kwani hana hata Chembe ya Unyerere kuanzia Kiakili na Kitabia na namuunga mkono kwa Heshima Kubwa tuliyonayo kwa Nyerere ( Baba wa Taifa ) azuiliwe kutumia Jina hilo au hata Ubini huo kwani ni kama tu vile anandhalilisha Hayati wetu.
 
January ni kama alivyokuwa Makonda kwa JPM....

Kibaya ni akitumbuliwa hapa ndio kitakuwa kifo chake cha kisiasa..... na akiachwa pia anachafua mamlaka ya uteuzi...
Option apangiwe kazi nyingine!

Disqualified .
 
Back
Top Bottom