Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Habebeki.
Kila uchao mashambulizi yanaelekezwa kwa huyo ndugu J.Makamba..hapa si BURE.....wamejipanga haswa KUMCHAFUA NA KUMSILIBA ANUKE ila jamaa yuko smart mno upstairs....YOYE ATAYASHINDA NA WATAUMBUKA VIBAYA SANA......

#Siempre JMT🙏
 
Tarnishing of the image....

Defend his image with facts if you think he is being tarnished!! Mnashindwa kumtetea kwa hoja mmebakia kulia lia tu kuwa wanamchafua!! Kama wanamchafua lete Maji na Sabuni umsafishe asinuke!!
 
Chadema mmeanza kuwaandama CCM na mavideo yenu duuuuuuuuuuuuuuu makambĂ  huko uliko imesikia mi siongezi kitu ila Napa ndisha sauti ya redio yangu hello mr.smart have you heard a certain creature dusting your credibility here please come and scold him a heavy scolding on his foreface so as he to be an exemplary to others to stop chewing your name and pour the sour saliva,I sink you understandingiiiiii, ok sank you!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaaaannn
 
Naona mzee umepewa kitengo nyeti cha kumkinga Janu na udhaifu wake.

Hongera sana, unakitendea haki!
Sipo humu kumkingia kifua mtu ! Kama ana makosa nae ntampa makavu

Sipendi sana mtu kuonewa kwa sababu ya chuki na uzandiki tu!

Mnachofanya sukuma gang ni kuzidi kutuonesha kuwa kwa namna gani tulikosea nyie kuwa na madaraka nchini

Mmejaa chuki, wivu, roho mbaya na uzandiki! Badilikeni maana mnazidi kujidhalilisha kwa Jinsi mnavyomuandama mtu ambaye hana makosa yeyote!
 
Kila uchao mashambulizi yanaelekezwa kwa huyo ndugu J.Makamba..hapa si BURE.....wamejipanga haswa KUMCHAFUA NA KUMSILIBA ANUKE ila jamaa yuko smart mno upstairs....YOYE ATAYASHINDA NA WATAUMBUKA VIBAYA SANA......

#Siempre JMT🙏
Why wamshambulie? Ukisema wana chuki naye bado naona siyo sababu.
 
Wewe endelea kula salary tu ila ukisikia umekata ghafla…ujue boss wako yuko lupango
Dogo mbona maneno mengi sana?

Hakuna shida ukikiri tu hapa kuwa hauna ushahidi wowote wa Wizi au upigaji dili wa January Makamba!

Unazidi kujidhalilisha kwa unavyozunguka wakati umeombwa ushahidi wa tuhuma zako na hauna!
 
Sipo humu kumkingia kifua mtu ! Kama ana makosa nae ntampa makavu

Sipendi sana mtu kuonewa kwa sababu ya chuki na uzandiki tu!

Mnachofanya sukuma gang ni kuzidi kutuonesha kuwa kwa namna gani tulikosea nyie kuwa na madaraka nchini

Mmejaa chuki, wivu, roho mbaya na uzandiki! Badilikeni maana mnazidi kujidhalilisha kwa Jinsi mnavyomuandama mtu ambaye hana makosa yeyote!

Mwambie boss wako ajibu hoja tafadhali…

Si yuko smart azijibu shutuma basi
 
January ndiye Rais ajaye baada ya Mama kumaliza awamu zake.
 
Why wamshambulie? Ukisema wana chuki naye bado naona siyo sababu.
Sababu za kumshambulia zinajulikana.......

1)Ukaribu wake na mh.Kikwete(speech writer during Kikwete's tenure) unawatisha sana WATU WANAOMCHUKIA JAKAYA......

2) Exposure yake kubwa ya mambo..... kufikia kuteuliwa tena UWAZIRI inawatisha sana "WACHAWI WANAOJULIKANA" na walio upinzani........

Huo ndio ukweli
 
Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..

Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!

View attachment 2183141
Huyu mwamba kanichekesha kichiz. Nimemaliza kudeliver msosi kwa mteja sasa nimerudi kwenye kababy walker kangu nimekaa navizia shift nyingine kuingia JF nakutana na hii video. Nimecheka kichiz hspo kwa Steve Nyerere. Dah this dude made my night.

"Steve Nyerere hilo jina kuwapa wapumbavu haitakiwi kwanza hanatakiwa hazuiliwe. Rais wetu nyerere hilo jina hakuwa mjinga mjinga".

Dah nimecheka sana na anavyoongea in a deep lake zone accent.

Huyu mwamba made my night
images (2).jpeg
 
Andika Kiswahili wewe kifuu " involved in the CULPRIT .." ndiyo unasema nini? Hawa wahuni hawasafishiki mwisho wake watamchafua na huyo anayewakumbatia!!!
Huna ushahidi wa huo UCHAFU umebakia kubweka tu......
 
Back
Top Bottom