Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mimi sio mpuuzi kaka nyie wa kuamini stori za vijiweniWewe utakuwa ni mtoto haujui history ya siasa ya nchi hii hakuna watu ambao walikuwa na kiburi na wezi katika nchi hii kama makamba, nape,rizi1 n.k enzi za Jk magu akaja kawakata midogo
Mama amewarudisha tena moto kwa wananchi lazime uwake na tumeanza kuona
Mimi Pia sio mfuasi wa siasa za chuki na za uzandiki za huyo Magufuli! Ndo mana nilitofautiana nae humu baada ya jaribio la kuuliwa la Tundu Lissu na kupotea kwa Ben Saanane!
Ukiniambia fulani ni mwizi nipe uthibitisho wa wizi wake, ukisema fulani ni mpiga dili nipe uthibitisho wa upiga dili wake hapo ndo tutaenda sawa
Zaidi naona unapiga maneno tu huna hoja yeyote ya msingi juu ya January Makamba